Mabinti wanaotoka familia maskini tabia zao

madamu bahati

Member
Dec 8, 2019
5
184
Hizi Ndio Tabia Za Wadada/Wasichana Kutoka Familia Maskini

58 minutes ago



Kama mada inavyojieleza

Nimefanya kauchunguzi kidogo nimegundua mabinti wengi wanaotoka katika familia njaa/maskini mlo mmoja kwa siku wana tabia zifuatazo:-

1.Wanapenda sana kuigiza maisha ,yani jinsi wanavyojiweka utafikiri ni mtoto wa Dangote au Bill Gate

2.Kupenda vitu vya gharama tofauti na uhalisia wa maisha yake na ya nyumbani kwao-simu atataka amiliki ya laki 3 wakati ndugu zake wanashindia mihogo

3.Wanapenda sana starehe,yani mademu wengi ambao kwao njaa ni watu wa kupenda starehe,club kwa sana kila weekend na kutembelea maeneo mengine ya starehe

4.kuchagua baadhi ya vyakula na kubagua vingine hasa wawapo ugenini,wao wanapenda wale chips kuku,Pizza,Burger

5. Wanajifanya wajuaji na waongeaji sana,kutwa wanashinda vibarazani kuwasema wenzao

6. Wapo huru sana kutoka nyumbani kwao,yani yeye anatoka muda wowote anaojiskia iwe asubuhi,mchana,jioni au usiku..hata akae wiki gheto hakuna wa kumuulizia

7. Ukimtoa out anakula na kunywa kama anakukomoa
Usimlaumu kwao mara nyingi wanakomea msosi mmoja tu

8.Ukimwita ghetto lazima akuombe nauli hata kama nauli ni 400 atataka umtumie....hawez kutaka kutumia hela yake

9.Anapendelea kuvaa nguo ya aina moja hasa ile aliyoambiwa akivaa inampendeza....yaan ataikomalia hiyo mpk itampauka

10.Wengi ni omba omba sana,beby xox utanitmia hela ya cm ,beby lunch , bata wapi

11. Wanajifanya hawana wivu...yaani kama tom boy

12. Hataki upajue anapoishi ,ukimwambia nataka kupajua kwenu chenga kibao hadi unaghairisha

13.Anawajua madereva boda boda wengi na bajaji....usiulize kwa nini kazoea kuvushwa

Mchana mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijataka hata kumalizia kusoma LAKIN JUA HILI.
Malezi.
Malezi
Malezi.

Mtoto aliyekosa mafunzo bora kwenye malezi yake,hata atoke familia fukara kiasi gani isiyomudu hata kununua packet ya chumvi (haipandagi bei chumvi kumbuka) au hata atoke family ya kitajir yenye ukwasi kiasi gan,mzee hizo tabia atakua nazo tu.

Vice versa is the fact
Halaf sasa unaweza ukapata malez bora sana lakin kuna mazingira tu utajikuta una practise hiyo list yako hapo juu.

WHY?? Sababu ni moja, kuna wakat huzo huwa zinatumika kama mbinu za ku survive kwenye unfavourable enviroments bila shida.

Mfano: msichana anaweza aka act kama mtu wa vitu expensive sana au mtu flan classy sana mbele yako kumbe tu ameshakusoma kuwa unamtamani na wakat yy hakupendi na anajua fika ww ni nobody tu kama sisi.So ili kulinda maslah yake na yak akikuletea Swag hizo lazima uahirishe tu mwenyewe bila kupigwa kibuti.u remain safe..and so she does.
 
Hizi tabia zinaniandama huku uzeeni Yaani nnazo zote, ujanani nilikiwa na adabu zote za kike.....sijui tabia huwa zina expire....

Granny Matata.
 
Back
Top Bottom