Mabinti wanaotafuta wachumba

Wakuu salam ivi hawa mabinti ambao wanaweka matangazo ya kutafuta wachumba humu wanakuwa wanatania au mbona tukiwafuata pm huwa hawajibu chochote

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Ukiona wako kimya ujue wamepata walichokuwa wakikitafuta.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Mshana asikutishe, unajua kupata ni tofauti na kupatana

-mikononyuma-
ahahha! bas tupatane !ila uwe unanitumia dhawadi napenda dhawad balaa!cheni(gold),hereni nzuri quqlity,viatu vizuri vya kisasa vya kuvaa mama wa kileo,sio mby ukanunua hata na set nzma ya bathing!napendaaaa! mwezi mwingn unatupia hata tulak3 kwenye akaunti! nami nikipata boxer nakupakzia kwa bus tena zile zimeandikwa WANAUME FAMILY!ila anza ww
 
Cheni, hereni,(gold) vipo . Kiatu size?,bathing set brand name? Account no?.

-mikononyuma-
 
Cheni, hereni,(gold) vipo . Kiatu size?,bathing set brand name? Account no?.

-mikononyuma-


hhahahahaah!kiatu no 38/39,napenda victoria,acc ukiwa tayar alert mi!ww boxer size ngapi?S,M,L,XXL?
 
hhahahahaah!kiatu no 38/39,napenda victoria,acc ukiwa tayar alert mi!ww boxer size ngapi?S,M,L,XXL?
M,kijana nilomuagiza anasema Victoria amekosa apo Mwenge, huwa unanunua wapi?

-mikononyuma-
 
hahahahah! ukute nachat na dent limetoka kwenmye paper !teh teh!au lipo field! hahah! haya bwana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] malizia tu, lipo linakula chips dume mkono wa kushoto limeshika kandoro

-mikononyuma-
 
mie mwenyewe nashangaaga tu!bora useme ww!labda sio mume/mke wa kufunga nae ndoa! siamini kbs kulast longer!
Kwani binti ukikutana nae mara ya kwanza barabarani unakuwa umeshamjua tabia zake? Sii huwa mnapendezwa na muonekano kwanza hlf research baadae? Ukishamfahamu kwani unafunga nae ndoa kwenye picha bila kuanzisha mahusiano mjuane kwanza? Hakuna utofauti wala hakuna sehemu maalum ya kukutana ili muanze uhusiano
 

huenda !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…