KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Nimekosa wachumba takribani 4 sasa wakidhani mi ni mchaga baada ya kuwatokea.
Naomba kujua wachaga wanamatatizo gani?!

acha zako hakuna cha uchaga hapo! shida ni kibamia chakoNimekosa wachumba takribani 4 sasa wakidhani mi ni mchaga baada ya kuwatokea.
Naomba kujua wachaga wanamatatizo gani?!
Nimekosa wachumba takribani 4 sasa wakidhani mi ni mchaga baada ya kuwatokea.
Naomba kujua wachaga wanamatatizo gani?!
Utakuwa unachungulia pesa sana ww ukitaka binti toa pesa c unajua wachaga ni mabahili sana ndo maana wanakuzania hivyo ww
Mkuu kuna mmoja ndo nimemwona tu hatufahamiani, ile kumwomba namba tu akasema ye hapendi kudate na wachaga.
Labda una sura ya kichaga
Nimekosa wachumba takribani 4 sasa wakidhani mi ni mchaga baada ya kuwatokea.
Naomba kujua wachaga wanamatatizo gani?!
Tatizo ni nini sasa!
Tatizo ni nini sasa!
Hebu watumie vocha za 20,000 na M-pesa/Tigo pesa ya 500,000 kila mmoja usipoona wakaanza kukuita BABY/HONEY.Nimekosa wachumba takribani 4 sasa wakidhani mi ni mchaga baada ya kuwatokea. Naomba kujua wachaga wanamatatizo gani?!
Nimekosa wachumba takribani 4 sasa wakidhani mi ni mchaga baada ya kuwatokea.
Naomba kujua wachaga wanamatatizo gani?!
Wape pesa usiongee sanaa