Mabinti waliolelewa kilelemama/kimayai ni shida sana.
Siku ya kwanza kuonana naye nilimuweka kidogo tuu(almost 20 minutes). Akawa anadai eti amechoka kukaa.
Tukaonana for the first time. Ni binti mwenye early 30's. Ila sasa mambo yake na umri hayaendani.
Hiyo siku tukapiga stori weeeh, nikamsindikiza kwao nami nikaenda kwangu.
Makubaliano yetu yalikuwa ni tuwe friends for benefit. Mwenye shida ni yeye na sio mimi, sababu hana mtu wa kumkuna.
Kupanga appointment ya kubenjuana akadai hawezi sleep-over. Kisa eti hajawahi fanya hivo na akifanya nyumbani watamshangaa sana.
Nikasema sio kesi, tukutane mchana tuu, tupige game letu kila mtu akalale kwake/kwao.
Siku ya siku tukaonana. Kwanza tulipokutania na tulipokuwa tunaenda kutulizana ni kama kilomita 1 sema ni njia ya vilima kidogo.
Nikasema ngoja tutembee tuu, kupanda bajaji/boda kwa kilomita 1 ni uzwazwa. Aiseee, njiani kidogo mtoto wa watu ateme roho.
Akipanda kimlima kimoja anahema balaa. Akawa ananiuliza hatufiki tuu? Jibu langu likawa moja tuu, bado kidogo.
Mpaka kuja kufika kasweat balaa na amefura mnoo kwa kumtembeza.
Ndipo akaanza kunambia hajazoea kutembea umbali mrefu namna ile. Pia isitoshe ana tatizo la presha na yupo kwenye dozi.
Pia akadai hajazoea kufanya kazi ngumu kama kufua, kupika n.k. Nyumbani wanamfuliaga na huwa haingii jikoni kupika.
Hapo alipo ana 90kg. Ana presha na ndio kwanza ana 30's yrs. Nikajiuliza huko ndani si naenda kuua?
Ila nikajipa moyo nikasema ngoja nikajionee itakuwaje.
Part 2 inakuja ya kilichoendea huko ndani.
**********************************************
Mkuu maelezo yako ya mwishoni nimecheka sana.Naona una confuse mtu mnene ambae ni obese na mtu alielewa kwenye middle au upper income family!
Obesity inampata yeyote!
Naona unachanganya mambo!
Na pia,kama upo stage ya kwenda kumtomba demu mnatembea kwa miguu kwenda gesti hiyo biashara ni heri uache ukatafute pesa!
Hata familia duni wapo wanaolelewa kimayai.Naona una confuse mtu mnene ambae ni obese na mtu alielewa kwenye middle au upper income family!
Obesity inampata yeyote!
Naona unachanganya mambo!
Na pia,kama upo stage ya kwenda kumtomba demu mnatembea kwa miguu kwenda gesti hiyo biashara ni heri uache ukatafute pesa!
Tako wapi, hamna tako wala nnAchana nae tafuta mwanamke anaejielewa au kisa ana tako nn
Naona una confuse mtu mnene ambae ni obese na mtu alielewa kwenye middle au upper income family!
Obesity inampata yeyote!
Naona unachanganya mambo!
Na pia,kama upo stage ya kwenda kumtomba demu mnatembea kwa miguu kwenda gesti hiyo biashara ni heri uache ukatafute pesa!
Ni wapi nimezungumzia mabinti wa kishua mkuu.Uyo anaishu zake tu madem wa kishua nawakubali sana kwanza wanapendaga kuja magetoni kuliko gest yan unamla namkwanja anakipa hata akikupiga kibuti huwa kiroho safi sio kwa nyodo
Majitu ya hivo unadhani yanashika mimba basi, hapo ana vijiti vya uzazi kila kiungo.Tia mimba boss
mkuu mtoto wa miaka 30 anaefuliwa,kutembea kilometre 1 anaona mbali hawezi kuwa mtoto wa kajamba nani vinginevyo labda useme ni mgonjwaNi wapi nimezungumzia mabinti wa kishua mkuu.
Kuzaliwa ushuani sio lazima ulelewe kimayai.
Unforgetable