Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,440
- 16,242
Mabinti waliolelewa kilelemama/kimayai ni shida sana.
Siku ya kwanza kuonana naye nilimuweka kidogo tuu(almost 20 minutes). Akawa anadai eti amechoka kukaa.
Tukaonana for the first time. Ni binti mwenye early 30's. Ila sasa mambo yake na umri hayaendani.
Hiyo siku tukapiga stori weeeh, nikamsindikiza kwao nami nikaenda kwangu.
Makubaliano yetu yalikuwa ni tuwe friends for benefit. Mwenye shida ni yeye na sio mimi, sababu hana mtu wa kumkuna.
Kupanga appointment ya kubenjuana akadai hawezi sleep-over. Kisa eti hajawahi fanya hivo na akifanya nyumbani watamshangaa sana.
Nikasema sio kesi, tukutane mchana tuu, tupige game letu kila mtu akalale kwake/kwao.
Siku ya siku tukaonana. Kwanza tulipokutania na tulipokuwa tunaenda kutulizana ni kama kilomita 1 sema ni njia ya vilima kidogo.
Nikasema ngoja tutembee tuu, kupanda bajaji/boda kwa kilomita 1 ni uzwazwa. Aiseee, njiani kidogo mtoto wa watu ateme roho.
Akipanda kimlima kimoja anahema balaa. Akawa ananiuliza hatufiki tuu? Jibu langu likawa moja tuu, bado kidogo.
Mpaka kuja kufika kasweat balaa na amefura mnoo kwa kumtembeza.
Ndipo akaanza kunambia hajazoea kutembea umbali mrefu namna ile. Pia isitoshe ana tatizo la presha na yupo kwenye dozi.
Pia akadai hajazoea kufanya kazi ngumu kama kufua, kupika n.k. Nyumbani wanamfuliaga na huwa haingii jikoni kupika.
Hapo alipo ana 90kg. Ana presha na ndio kwanza ana 30's yrs. Nikajiuliza huko ndani si naenda kuua?
Ila nikajipa moyo nikasema ngoja nikajionee itakuwaje.
Part 2 inakuja ya kilichoendea huko ndani.
**********************************************