MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Utafute element kabisaa si unamuona lulu toto la kisingida lilichomfanyia kanumbaa..chek wema sepetu kisuraaa
mkuu wema sepetu lile komwe kama kavaa helmet ya bodaboda
Utafute element kabisaa si unamuona lulu toto la kisingida lilichomfanyia kanumbaa..chek wema sepetu kisuraaa
99.9.9% bila shaka na ushirikina usilisahau hili kwa hao warembo wa singidan
Kweli kabisanimeishi singida miaka mitano kabla ya kuhamia arusha. ninawafahamu mno hao masholi, miguu kama chelewa, wengi wao wamezaliwa maisha magumu hivyo wana roho mbaya na ya uchoyo, hawataki kuona mtu anafanikiwa, wanapenda sana kutumia madawa sana sana. ni malaya sana, na wengi wao wamekeketwa. wanaume wao ni mbulula, wavivu na vibaka/majambazi sana. wale kuanzia manyoni hadi ufike singida walikuwa wanateka hata mchana hata miaka ya 2012 walishawahi kutega magari mchana wa saa nane, kule senkenke wao ndio walikuwa wanatega magogo kuteka magari. ni wezi sana hawataki kufanya kazi ni kuiba tu. wanawake warahisi sana malaya ajabu na hawaridhiki kwasababu hawana maharage (wachache sana hawajakeketwa). hapo naongelea wanyaturu. ila wanyiramba wako poa sana ila ni mabingwa kuiba waume za watu kimoja.
Huyo mwenyewe anataka akafanye tabia mbayaWengi wana tabia mbaya