RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
aisee kweli hata mie sioni zile kamba zetu! dah zile zinaamusha ari sana yaani, yaani huwa nikiziona, nitamfuatilia huyo dada mpaka nimpate! dah shanga zina raha yake bwana!
domhome, umenikumbusha mbali sana, mie pia ni kizazi cha MATHIAS TETI! hiyo mitaa yote nimetmbea kuifuata ngoma baikoko, hadi mikanjuni tulifika!
Kaka unanikumbusha Tanga, nilikuwa pale Galanos, mitaa ya kisosora,chumbageni, majani mapana,duhhh
Mkuu, kumbe wewe ni zao la mzee kinala? Unamkumbuka mama msemo? Na masawe je?
Mkuu kumbe umewahi kuishi Kisosora! Unakumbuka chumvini kupitia shule ya msingi LY, hapa sokoni upande wa kulia kulikuwa na ukumbi ukiitwa Social centre, hapo ukitaka bia utapata, ukitaka dansi mpaka kunakucha.Kaka unanikumbusha Tanga, nilikuwa pale Galanos, mitaa ya kisosora,chumbageni, majani mapana,duhhh
Bila kumsahau msocha.....Kinala yuko wpi cku hizi??tulikuwa tunalima c mchezo
Mkuu umenikumbusha Sahare enzi hizo kulikuwa bado mapori, jinsi wapemba walivyokuwa wabishi wa kujenga vyoo na badala yake wakichimba dawa porini na kutuachia miche ya mipera.
Mkuu kumbe umewahi kuishi Kisosora! Unakumbuka chumvini kupitia shule ya msingi LY, hapa sokoni upande wa kulia kulikuwa na ukumbi ukiitwa Social centre, hapo ukitaka bia utapata, ukitaka dansi mpaka kunakucha.
tatizo ni wachafu halafu huwa wananuka m.avi na utoko....si wanapenda tigo?....wakiwa wananengua ni kama majini yaliyomo ndani yao ndio unayolala nayo....wana majini mahaba hao.
Uko sawa kabisa Mkuu, mimi nimekulia Chumbageni mkabala na NHC block A & B. Hapo kisosora Social Centre tulikuwa tunafuata mademu, tulikuwa tunawahi halafu tunasubiria kwenye makochi ya zenge pale kando yake kwenye maduka mengi, enzi za Mzee mmoja maarufu sana wa Kiarabu anaitwa Abdi (Marehemu)Si ilikuwa ni Police Station baadae.....wewe wa wapi pale.
Uko sawa kabisa Mkuu, mimi nimekulia Chumbageni mkabala na NHC block A & B. Hapo kisosora Social Centre tulikuwa tunafuata mademu, tulikuwa tunawahi halafu tunasubiria kwenye makochi ya zenge pale kando yake kwenye maduka mengi, enzi za Mzee mmoja maarufu sana wa Kiarabu anaitwa Abdi (Marehemu)
tatizo ni wachafu halafu huwa wananuka m.avi na utoko....si wanapenda tigo?....wakiwa wananengua ni kama majini yaliyomo ndani yao ndio unayolala nayo....wana majini mahaba hao.
Kama hata mzee Bwanga unamfahamu wewe wakwetu kabisa, tulikuwa tunakwenda kununua ICE CREAM pale. Ulishawahi kula miswele (kaa) pale mtaa wa Kwa Hamisi Mzee?Wanaita kotaz wenyewe, namjua yule mwarabu, duuh alikufa eeh. So ulikuwa mitaa ya kwa mzee bwanga?