Mabinti wa Kichaga na Kipare


Good experience NK, ukubwa dawa! Uzoefu wako unatusaidia wengi hapa JF kuelewa rumours zisizo na mashiko! ASANTE SANA!
 

Da Lizzy thanks sana!

Kwa kuongezea ni kuwa watu hawajui kuwa dunia ya sasa imebadilika, waachane na kukariri mambo ya miaka ya 47! Ukioa mwanamke wa kichaga kiukweli hutalala njaa hata siku moja, anajua kupanga maisha hasa ukiwa muwazi kwake na kumuonyesha mapenzi ya kweli.

Binafsi am so proud kuona wanawake wa kichaga na nina-wa-admire sana! Wanaume wengi wametoka kimaisha na hawa dadaz wa kichaga! Wengi wanasema Ukioa mwanamke wa kichaga ujue umepata jembe la uhakika ktk maisha yako!

NB: Ila usije kurupuka eti umekutana nae manzese uwanja wa Fisi kisha uje kulia lia hapa hatutakuelewa! Mtoto wa kichaga mtoe aliyeko skonga/ Univers, college au Work mate wako ofisini/kazini kwenu etc kamwe hutajuta ktk maisha.

Kama vipi panda kule kule milimani: Kibosho, Marangu, Rombo, Machame, Hai/sanya juu, longuo, mawela n.k huko ndiko utapata kitu pure kabisaa

Lakini inapendeza umpate wa huku mjini kisha yeye akupeleke kule ukanywe mbege bila kusahau ngararimu... lol ...... Achana na hawa watu bana wanajua kupenda from their heart........ na ukileta ukicheche....... hapo ... hata kupigwa utapigwa.....

Kifupi hawapendi kuchezewa/kupotezewa dira ktk maisha. NDIO MAANA WANAUME WENGI WANAWAOGOPA HAWA DADA ZETU WA KICHAGA COZ WAPO STABLE NA HAWATAKI KUCHANGANYWA NA MAMBO YENU YA KUWA VICHECHE MSIO RIDHIKA KTK MAPENZI a.k.a msiwe chovya chovya!!
 
Duh!!
Hii kali jamani ila naona ni imani za kale,mimi naamini environment,malezi pamoja na family traits ndio zinachangia kwenye tabia ya mtu hata awe myao,mdigo n.k.
Punguza imani za kishirikina hapa TZ watu wengi mtu tajiri akifariki watasema ni NGOMA au KAROGWA kumbe mtu kafa na matatizo yake.
Ukimpenda mtu na unaweza vumilia mapungufu yake na yeye anakuvumilia yako OANENI
 

Napigilia misumari hapo Lizzy,umenifurahisha sana.....................................Huyu kakimbiwa kwa kukosa sifa na vigezo vya mwanaume bora sasa anatafuta pa kupumulia!
 
Hhahahh...Ngoswe asante...umenifurahisha hapo SANYA JUU na kwenye NGARARIMU....dah kweli vitu vya asili havina mpinzani!!!Alafu umesahau Kiburu!!
 
Napigilia misumari hapo Lizzy,umenifurahisha sana.....................................Huyu kakimbiwa kwa kukosa sifa na vigezo vya mwanaume bora sasa anatafuta pa kupumulia!
Hhahah..alafu eti mihasira anakuja kumwaga hapa!!
 



........hajawahi kupelekwa hapo mndenyi huyo,tunamkaribisha kwenye hii FULL SUTI huku mlimani,nipo jikoni namuandalia Mtori apunguze baridi wakati akisubiri NDUU ziive!.Jioni nitamtoa kwa NGARARIM na baadae nimpeleke akapate"kitochi" pale kwa mzee Ndesa



 
Ebana weeeee....kweli asiyepapenda kwao MSHAMBA!!
 
utafiti ulifanyia chuo gani ?

sema chumba gani sio chuoni, huko kuna watoto hayo mambo ya pesa na kuoana hakuna
serikali imezuita, hata siasa no

mwenye uelewa mdogo utamjua tu si mpaka mfanye intavuu

hacha matusi
hii kitu ni kweli nusu na uongo nusu
ukweli ni kwamba kweli jamaa wanachukua huko na mimi ni na ushahidi wa kutosha, na sababu ni mwoneka na ushapu (mwanamke wakichaga kama unazo anakutokea live) hawana kuzuga, hii kitu nina hakika nayo kwa asilimia mia na sio kwa watu wawili ni idadi ya kutosha
lakini hilo la kuuwa sio kweli bado sija hakikisha,
 
Hivi ukioa mchaga kisha ukapata mali nyingi inatakiwa usife? Kweli ukiyashangaa ya magamba utayaona ya JF
 
Ni dhambi kubaguana kwa ukabila au udini wa mwenzako ila nina swali kwa Wana Great thinker, katika pitapita yangu nimegundua mabinti wengi wa kichaga na kipare wana miguu midogo(mwembamba) sana tofauti na maumbo yao yalivyo. Je hii inatokana na nini? Je kuna mtu alishawahi kufanya utafiti wa RNA na DNA kujua nini kisababishi cha hali hii? Wadau wenye wapenzi wachaga au wapare (wanawake) naomba mtizamo wenu.
 

una maanisha miguu membamba?
vipi akili kichwani k una kabila linakamata??
stupid topic
 
midogo??mifupi??fafanua acha mambo ya haraka
namaanisha ule ukosefu wa lishe, i mean wembamba wa miguu yao unatokana na nini? Je kuna uhusiano wa RNA na DNA kati ya wachaga na wapare? Next time punguza hasira ROSE b'coz jina lako linaashiria upendo,furaha,utayari n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…