Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
- Thread starter
-
- #21
Hii ya ma dent kujiuza naisikia mno hapa jf
ukiuliza wapi wanapojiuza hujibiwi.
ukisema weka namba zao hapa hao wanaojiuza
hakuna anaeweza...
mostly ni hisia tu..
sababu wadada wanaojiuza ni age ile ile ya ma denti na mavazi yale yale...
Hizo story za ku guess tu
party girls na prostitutes tofauti yake sio kila mtu anaijua
college girls are party girls.....periods...
Hii ya ma dent kujiuza naisikia mno hapa jf
ukiuliza wapi wanapojiuza hujibiwi.
ukisema weka namba zao hapa hao wanaojiuza
hakuna anaeweza...
mostly ni hisia tu..
sababu wadada wanaojiuza ni age ile ile ya ma denti na mavazi yale yale...
Bossman unaishi pande zipi?
Maana madenti wa vyuo kujiuza (ingawa si wote wafanyao hivyo) si jambo jipya. Uliza watu wanaoishi pande za Sinza karibu na kwenye zile flats za zamani za CRDB ambazo zilikuja kugeuzwa kuwa dorms za madenti wa UDSM na sasa zimekuwa flats za wafanyakazi wa UDSM.
Baa nyingi za maeneo hayo (kwa Afande, Migombani, Sungu Chini, Meeda, Soccer City, na zinginezo) zilikuwa zinajaa madenti wa UDSM na ilikuwa ni wewe tu kufika bei.
Wengi wao walikuwa siyo wa kusimama mabarabarani kwa sababu unaweza kusema wana sophistication kushinda wale wengine.
Kwa hiyo si suala la hisia tu. Ni suala lenye uhalisia.
Mi najua college gals waliokuwa wanajiuza (escorts) na waliokuwa wana strip kwenye gentlemen clubs huku wakiendelea na shule. Na stripping na prostituting hazina tofauti kivile maana at the end of the night most likely kuna shefa linaomba kuondoka na stripper na likifika bei stripper anaenda kulimalizia haja zake.
The Boss ,njoo Mwanza makoroboi nitakuonesha mabint wa SAUT wanavyojipanga barabarani kama nyanya.
"
Tena sio wachache ni wengi balaa!
Wanafanya na wafanyakazi wa taasisi mbalimbali, wengine hata mawaziri na wafanya biashara mbalimbali, Huwa eti wanadai wanafunzi wenzao wakiume hawana "Bargaining power"Hao wanachuo umalaya wanafanya na nani?????
hahahahhahah mdada movie ya angelina julie imeisha??!!!Hao wanachuo umalaya wanafanya na nani?????
Nasikia huko UDOM unapata huduma ya ngono hadi kwa shilingi Elfu moja, kwa mkopo na hata Bonus ipo.ukitaka kufa chukua bnt wa udom
Nasikia huko UDOM unapata huduma ya ngono hadi kwa shilingi Elfu moja, kwa mkopo na hata Bonus ipo.
Hii ya ma dent kujiuza naisikia mno hapa jf
ukiuliza wapi wanapojiuza hujibiwi.
ukisema weka namba zao hapa hao wanaojiuza
hakuna anaeweza...
mostly ni hisia tu..
sababu wadada wanaojiuza ni age ile ile ya ma denti na mavazi yale yale...
Kimsingi nakubaliana na wewe
ninachopinga ni ile dhana kuwa 'wanajipanga barabarani'
au ni full biashara kiwaziwazi