princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,194
- 2,065
Ayayaya Dingii ulikua unadevela kiaje asee hadi ukachelewa kuzipa sifa mamsi za hapa Gachuland,Ziko yente ile kwikwide chaliangu,alaf hazinaga njaro zikogo tu zinameremeta knich knach
Mapenz hayana type wewe, Nani kakudanganya... Asiyejua hajui tu... Mbona sijasema Dar au Tanga... Arusha, Moshi na Manyara ni wasoma magazeti tu... Upate demu wa Singida, (wanyaturu na wanyiramba) au Dom hapo utapata mashamsham kiasi... Arusha ni wamasai nafikiri utamaduni wa kukeketwa umewaondolea mzuka kbsItakuwa unapata wa type yako
Yeeera uko sahihi kinyama mamalai,,Mamiloo za hapa duas Yaani kwanza ziko hewani apo fas alaf hazinaga perepete mingi,Joanah popote ulipo kunywa maziwa ntalipa aisee!!Ni wazuri kweli halafu wengi wao warefu
Yente yente bablaiYeeera uko sahihi kinyama mamalai,,Mamiloo za hapa duas Yaani kwanza ziko hewani apo fas alaf hazinaga perepete mingi,Joanah popote ulipo kunywa maziwa ntalipa aisee!!
Ayayaya Dingii ulikua unadevela kiaje asee hadi ukachelewa kuzipa sifa mamsi za hapa Gachuland,Ziko yente ile kwikwide chaliangu,alaf hazinaga njaro zikogo tu zinameremeta knich knach
Mapenz hayana type wewe, Nani kakudanganya... Asiyejua hajui tu... Mbona sijasema Dar au Tanga... Arusha, Moshi na Manyara ni wasoma magazeti tu... Upate demu wa Singida, (wanyaturu na wanyiramba) au Dom hapo utapata mashamsham kiasi... Arusha ni wamasai nafikiri utamaduni wa kukeketwa umewaondolea mzuka kbs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba hawajui kuvaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakutembea pia hawajui???[emoji23][emoji23][emoji23] ( Wanatembea Kama wanasukumwa??)Shida ni moja tu kuvaa tembea na kujiremba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba hawajui kuvaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakutembea pia hawajui???[emoji23][emoji23][emoji23] ( Wanatembea Kama wanasukumwa??)
Na kujiremba( hi Haina mashiko Sana)
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Ni wa huko ila najiamini natembea vizuri(ila tuu nko na speed cwez tembea slow) hi kujiremba Ni kweli kabisaaaa naweza kutoka usoni nmepaka lotion tuu na ka lip gloss mdomoni basy ctaki mbwembweEeeh utembeaji wetu una mushkeri kidogo nadhan sababu ya kupanda sana milima
Katika maisha yangu nilikulia sana Mbeya huku, Sifa za wasichana wa huku ni wa kawaida sana na hatukuendana kwa sababu mimi nimeenda hewani kwa hio ilikuwa ni kuzoeana nao kawaida tu na kwenye mapenzi nlipata wanaohesabika na walikuwa wa kaskazini,
Nilipaata bahati ya kuchaguliwa kwenda chuo Arusha na niliishi huko kwa miak minne, Jamani nisiwe mnafki mabinti wa Arusha ni wameumbika, Sijui ilikuaje kuaje ila nahisi ilichangiwa na kuendana nao kwa sababu na mimi ni mtu wa kaskazini basi tukawa tunazoeana kwa urahisi, sio wao wala kaka zao maana hata marafiki nilipata wengi sana nikiwa huko.
Wanawake wengi wa Arusha ni wa iraqw, wambulu na makabila mbali mbali kutoka singida na kondoa, Hapa nilikutana na warembo haswaa , Navyosema ni wazuri namaanisha ni warembo kisawa sawa kama vile walivyo watu wenye asili ya makabila niliyoyataja akiwemo wema sepetu na kina rah p.
wachaga na wapare tuliishia kuwa marafiki tu ili kujilinda na madhara ya ile tabia yao ya kuweka **** mbele
Wengi husema mabinti wa huko ni malaya ila kitu wanachsahau ni kwamba ukiibiw kariakoo huwezi kufikia muafaka kwamba kila mtu kariakoo ni mwizi, Binafsi sikupata shida nao na nilitokea kuwaelewa sana maana nikipenda huwa nimependa kweli na sinaga muda na michepuko ambayo ndio huchangia hata mwanamke wako kukukimbia (karma), Kwa utundu wangu wa kompyuta kila mmoja niliekuwa nae kwenye mahusiano nilimwekea programu kisirisiri kwenye simu yake inayonitumia chats zake,call logs na hata picha zake na ni wawili tu kati ya wachache niliokutana nao nilikuja kugundua kupitia kamtambo kangu kwamba ni vicheche. Hao waliobaki tuliachana kwa amani na tunaongea vizuri kabisa kama marafiki
Hehehe sijakumanya echu sisteri apo,,Ebu nipange freshYente yente bablai
Hebu nifanye kuorder
Nop Dad sisi ni Machalii zaoHawa ndio kaka zao
Nop Dad sisi ni Machalii zaoHawa ndio kaka zao
Hao wenye maumbo mazuri wako mitaani gani mkuu.Hapana si kwa mademu wa Arusha, nipo hapa kitambo, nimekata tamaa ya kuwa na demu hapa, ni hovyo kabisaaaa... Hupati unachotarajia.. Umbo zuri, rangi nzr lkn hajui kitu,...
Njoo Kijenge juu aride,ama choma fas ya Ngareroo ziko mamaa za ki'rangi nicheche dingi angu!!Hao wenye maumbo mazuri wako mitaani gani mkuu.
Mbona mie naishi huku siwaoni?
Kila Mara niko bondeni hapa, kaloleni, Samunge, Sombetini kwa Mromboo sioni kitu aisee!
Wako wapi hao?
Sura na Rangi hapo sawa Kabisa. Kuhusu mambo mengine ni Binadamu wa kawaida tu hawa hamna cha zaidi, labda kula dawa wanaita wenyewe.Mademu wa chuga kwa rangi na sura + kimo wapo njema ila miguu na taco hamna kitu
Njoo Kijenge juu aride,ama choma fas ya Ngareroo ziko mamaa za ki'rangi nicheche dingi angu!!
Tako unapeleka wapi auvunapenda kujambiwa? Miguu kwani wanatembea na mikono mkuu?Mademu wa chuga kwa rangi na sura + kimo wapo njema ila miguu na taco hamna kitu