Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Katika maisha yangu nilikulia sana Mbeya huku, Sifa za wasichana wa huku ni wa kawaida sana na hatukuendana kwa sababu mimi nimeenda hewani kwa hio ilikuwa ni kuzoeana nao kawaida tu na kwenye mapenzi nlipata wanaohesabika na walikuwa wa kaskazini,
Nilipaata bahati ya kuchaguliwa kwenda chuo Arusha na niliishi huko kwa miak minne, Jamani nisiwe mnafki mabinti wa Arusha ni wameumbika, Sijui ilikuaje kuaje ila nahisi ilichangiwa na kuendana nao kwa sababu na mimi ni mtu wa kaskazini basi tukawa tunazoeana kwa urahisi, sio wao wala kaka zao maana hata marafiki nilipata wengi sana nikiwa huko.
Wanawake wengi wa Arusha ni wa iraqw, wambulu na makabila mbali mbali kutoka singida na kondoa, Hapa nilikutana na warembo haswaa , Navyosema ni wazuri namaanisha ni warembo kisawa sawa kama vile walivyo watu wenye asili ya makabila niliyoyataja akiwemo wema sepetu na kina rah p.
wachaga na wapare tuliishia kuwa marafiki tu ili kujilinda na madhara ya ile tabia yao ya kuweka **** mbele
Wengi husema mabinti wa huko ni malaya ila kitu wanachsahau ni kwamba ukiibiw kariakoo huwezi kufikia muafaka kwamba kila mtu kariakoo ni mwizi, Binafsi sikupata shida nao na nilitokea kuwaelewa sana maana nikipenda huwa nimependa kweli na sinaga muda na michepuko ambayo ndio huchangia hata mwanamke wako kukukimbia (karma), Kwa utundu wangu wa kompyuta kila mmoja niliekuwa nae kwenye mahusiano nilimwekea programu kisirisiri kwenye simu yake inayonitumia chats zake,call logs na hata picha zake na ni wawili tu kati ya wachache niliokutana nao nilikuja kugundua kupitia kamtambo kangu kwamba ni vicheche. Hao waliobaki tuliachana kwa amani na tunaongea vizuri kabisa kama marafiki