Extra focus
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 659
- 1,284
Ni kweli mkuu. Kitu pekee unachoweza ni kumhudumia mwanao au ndugu yako wa kike kadri unavyoweza na kumlea awe na hofu ya Mungu.Hapana ila mimi pia nina dada na pia M/Mungu atanijalia watoto wa kike huko baadae.
#Chizi anachekesha kama sio ndugu yako vile vile mwanamke anayevaa na kutembeza kitumbua hovyo anafurahisha kama sio mama yako wala dada yako.
Ukishaanza kupanga watu waoe vipi, hawa sijui wanafanywa sana vyuoni, ushajipa umuhimu katika maisha ya watu baki wasiokuhusu.Nimekuuliza tena wapi nimejipa umuhimu? Au kiranga kama jina lako mkuu?
Akikaa sana bila kutombeka anaanza kunuka mpaka aanze kujipakaa marashi yenye harufu kali ili kuficha uvundo wa kei plus hanyoi vuzi mara kwa mara kwa hio harufu inakua kali zaidiSasa tombeni kistaarabu wazee mtakuja kuwapa shida waoaji hapo baadae.
Sawa mkuu ila sikua najipa umuhimu.Ukishaanza kupanga watu waoe vipi, hawa sijui wanafanywa sana vyuoni, ushajipa umuhimu katika maisha ya watu baki wasiokuhusu.
Watu wameamua kuishi hivyo. Hawajavunja sheria. Hawajakupunguzia kitu.Hiyo ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu. Watu hawa hawakuhusu. Unajipa umuhimu usio nao katika maisha yao.
Huelewi wapi?
Umejipa umuhimu, ila huijui dunia bado hukujua kuwa umejipa umuhimu.Sawa mkuu ila sikua najipa umuhimu.
Kwa kukusaidia kati ya mwanamke na mwanaume ni mwqnume ndie anaechapika mzee. Kwasababu mwanaume ndie aliyeu.biwa matamanio sio mwanamke matokeo yake utatamani kila siku makalio mapya na kuyachezea kumbe ndio unachakaa na hawataacha kuzaliwa so be wise bro. Kuwa na kiasi na usitake kujua sana mtu maana biblia inasema atafutae atapata which means ukitafuta makosa ya mtu yeyote utapata tu.Wakuu habari.
Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo yanasikitisha sana wazee.
Mabinti kuanzia mwaka wa kwanza mpaka anamaliza wanahama tu magheto ya wana. Binti huyu baada ya muda atahitimu atakutakana na kijana mwingine smart mtulivu ataolewa nae hapo ndo kijana yule hakuna rangi ataacha kuona.
Na sisi wanaume wazee dah tupunguze kupiga na kuharibu hawa wanawake mnasababisha matatizo makubwa kwa waoaji.
NB:Sio chuki ni mawazo tu na sio wote
Hapana mimi sisemagi hamjiamini bali nasemaga mkitaka wanawake wajitunze basi wanaume acheni kuwachezea hivyo kwa kifupi nanyi hamna budi kukubali kujitunza, mambo ya kusema eti wanakubali kwa ujinga wao na kwamba wao ndio wanapata madhara hiyo ilikuwa zamani siku hizi tunaona mnaoongoza kulalamika ni ninyi kwa sababu ya kukosa wanawake wenye sifa mnazozitaka, nimependa mtoa mada naye aliposema kwamba na wanaume muache kuwachezea hao mabinti bora yeye amejua kwamba suala la wanawake kutojitunza siyo kosa lao peke yao bali la wanaume pia hivyo wote wanatakiwa kuwajibikaNdio maana Nikifa MkeWangu Asiolewe anataka muoe bikra, ila Jadda anadai hamjiamini, mnalalamika sana.
Sio wote lakini kuna washika diini wa ukweli wanaochapika ni wale wenye tamaa na kutaka maisha ambayo sio saizi yao wengine ulimbukeni wa mapenzi wengine wanajidai wana fanya for fun kumbe ndio wanachapika hadi sugu..Wakuu habari.
Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo yanasikitisha sana wazee.
Mabinti kuanzia mwaka wa kwanza mpaka anamaliza wanahama tu magheto ya wana. Binti huyu baada ya muda atahitimu atakutakana na kijana mwingine smart mtulivu ataolewa nae hapo ndo kijana yule hakuna rangi ataacha kuona.
Na sisi wanaume wazee dah tupunguze kupiga na kuharibu hawa wanawake mnasababisha matatizo makubwa kwa waoaji.
NB:Sio chuki ni mawazo tu na sio wote
unajuaje kama bikra mkuu
Mwana chuo atoke na konda? Kinyozi? Boda boda?Wanapigwa na walinzi WA chuo,bdbd, wauza chipsi, vinyozi, wafanyakazi wa chuo, konda wa daladala........
Na usiombe chuo kiwe ni ili mradi wamalize full kushinda guest, magetoni na club
Ukimfikiria sana mwanamke hautaoa
Wewe chagua mmoja na usiulize past yake utotoleshe watoto
Upo mkoa upi nikwambie pa kupangaMimi sijawa wafikia bado kuwachapa nataka kupanga karibu na chuo
Hawa vijana huwa wanazidisha mambo sana, na mara nyingi ni wale wanaokula chochote kinachopita njiani, hata kiwe ni uchafu.Mwana chuo atoke na konda? Kinyozi? Boda boda?
Hata km ni ugumu wa maisha, he'll no.