Mabinti tumieni vyema dirisha lenu

Nadhani una hoja nzuri sana, sio kwa wanawake tu bali hata sisi me.

Huu ujumbe niliwahi kuushuhudia kwenye jamii ya watu waliostaarabika sana, inaonekana mwanamke ana "value", tena inapanda na kushuka kutegemeana na na muda/umri. Japo sio muumini sana wa hilo, naona wadada above 30 and to me they're so attractive, wamekomaa kifikra na nawaona wapo tayari na wanaweza ku settle, ni swala la kupata yule wanayeendana tu.

Muhimu mtu ajue anachotaka katika maisha yake, choices....just make the right choice, ukibugi hapo ndio inaweza kuwa shida.
 
Mchapaji hatoi chozi

Hautujui sisi tunapotaka mbunye tulivyo wenyenyekevu ila tukishapewa tunaona hauna maajabu tena 😁😁😁

Kumbuka tu "mtaka cha uvunguni sharti ainame" kwa hiyo usishangae kuona akitoa machozi.

Ukitaka ujue kama siyo mchapaji ebu jaribu kama unamkubalia alafu mwambie hamna kula papuchi mpaka akuoe kwanza then uone kama atabaki
 
life begins at 40,USITUTISHEEEEEEE
Umeona eee!

By the way, lengo kuu la ndoa si ni kunyanduana tu? Kwani kama mwanamke hajaolewa hanyanduliwi?

Sasa kama mnyanduano unapatikana hata bila kuingia kwenye ndoa, ndoa ya nini?
 
Umeona eee!

By the way, lengo kuu la ndoa si ni kunyanduana tu? Kwani kama mwanamke hajaolewa hanyanduliwi?

Sasa kama mnyanduano unapatikana hata bila kuingia kwenye ndoa, ndoa ya nini?
oyooooo! there we go
 
umeongea kweli
Tatizo ile mtu anajiona mzuri kulikomwingine haijalishi ni Ke au me
 
Kwenye Law Of Diminishing Return ukiisoma vyema huwa inamdadavua mwanamke vizuri mno!

Yaan Mwanamke anapokuwa Peak(miaka 25/6) hivi, Mwanaume ndio anaanza kuinuka anapoanguka/ jioni yake ikiwadia, mwanaume ndio anaanza kuyapata Mafanikio.
 
miaka 30 mbona bado kijana mdogo sana
Bora umesema, maana sikuhizi wanajikuta Sana hawajui kijana wa kiume anaweza kuoa hata miaka 30 wao wanafikiri kujaliwa makalio kumbe wamesahau hata tivii za chog zilishapita na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…