Mabinti tumieni vyema dirisha lenu

Halo ka kibanda ka kukimbilia akidundwa Ni kepi zaidi ya kwa baba na mama? Na kuwa nacho na asidundwe nitakuwa Cha kazi Gani?
 
Binti wa miaka 19-26, soma tena soma haswaa baada ya hapo tafuta pesa tena zitafute haswaaa, utaolewa na mwanaume yoyote umtakaye, dunia ya sasa inahitaji Elimu na Pesa usidanganyike, tena inahitaji nyote kupambana usibweteke ukasubiri kuletewa utaishia kuingia kwenye mikono ya watu wenye fikra za kimaskini kama hizi, unyanyaswe ujihisi una mikosi,

SOMA+TAFUTA PESA.
(YOu can read it Loud)
 
Mkuu ko unataka uwafundishe ....ili tukose wa kuwala kimasihara
 
Mkuu ko unataka uwafundishe ....ili tukose wa kuwala kimasihara
 
We umemaliza aisee ujumbe umefika wasipokuelewa basi.
 
Mbona ushauri wa mshkaji ni mzuri na uhalisia au wewe unaamini pesa na elimu ni muhimu sana kwa wanawake kuliko ndoa?
 

Wachapaji tu hao kama unadhani nakutania, jifanye kumtunuku mmoja utakaempenda uone kama atamaliza even three months na wewe kama hajala kona
 
Ujumbe mzuri,ila for sure kuna wanawake hawajielewi aisee, hasa hawa wanafunzi wa vyuo ule uhuru ni tabu kubwa.
 

Nilivyoelewa si kwamba anashauri wasitafute fursa za maendeleo ikiwa ni pamoja na shule. Tatizo ni kuwa wasichana wengi kipindi hicho, hata walio vyuoni, wanadangayika kirahisi sana na watu wanaovizia kuchezea miili yao kiasi kwamba wanapoteza muda na fursa za kujenga mahusiano makini na “future spouses”.

Ujenzi wa mahusiano makini unaweza kufanyika popote hata wakiwa vyuoni, makazini, au kwenye biashara. Badala yake wengi wanaishia kupoteza muda na watoto wa mjini (players) na sugar daddies.

Wanadanganywa na sifa za kilaghai kuhusu uzuri walio nao ili walegee na kujiachia kirahisi. Wakishtuka tayari wanaelekea 30s ndipo wanaanza kushindana na mabinti wa 19-25 kusaka mahusiano makini.
 

Mwanammke anafikia peak ya uzuri kwenye 22 yaani hapo anakua ng'ari ng'ari mrito mrito yaani full mcharo!!

Window = Time
 
Wewe sijakuelewa. Naona unadrifti drifti tuuu sijui unadrifti na Mitsubishi Evo, Subaru ama Ka Altezza😁😁😁😁😁😁
 
Mbona ushauri wa mshkaji ni mzuri na uhalisia au wewe unaamini pesa na elimu ni muhimu sana kwa wanawake kuliko ndoa?
Kwa hiyo wewe unaamini Ndoa ni muhimu sana kuliko Elimu na Pesa?
Unaweza kwenda kumuozesha mtoto wako wa miaka 19? Halafu unajiita Mjasiliamali,
Mjasiliamali gani huyo hana ufahamu wa dunia inavyoenda?
 
Kuna singo maza wamekuja na hasira sana,
Ila tafuta pesa sanaa na elimu lakini mwanamke heshima yake ni ndoa hasa huku Afrika huko majuu weshawehuka. Japo wanapenda sana ndoa unless we ni shemale
 
Wewe leo mwanamke?
Siku zingine mwanaume..
Leo Una 39??
HUYU MTU SIJAWAHI MUELEWA KABISA, NA SHIDA IPO HAPA KWA HAWA WAPOTOSHAJI.! SEXLESS NI BONGE LA MPOTOSHAJI KAMA MDADA HATAKUWA NA NIDHAMU NA UTULIVU KWENYE KUCHAMBUA PUMBA ANAWEZA ZICHUKUA PUMBA ZA HUYU DUBWANA SEXLESS

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…