Mabinti Single mpo wapi?

Hehe hivi vigezo mnavyoviweka as if nyinyi wakamilifu,
wanaume kwa ubinafsi!!


Dada mbona umekua mkali kiasi hicho wakati yeye ametaja kazi na umri vigezo ambavyo hata wadada mnakua navyo tena wengine wanaongeza garina nyumba.
 
Namimi pia napenda kutumia nafasi hii kutafuta mwanamke mweupe kidogo mrefu aliye siriouz ani pm
 
sifa ninazo lkn sijaajiliwa vp utanipokea as ur lvly wife?
 
hiv kwanin walimu na ma nurse wanapendwa sana????
 
hawana jeuri ya pesa, wakishaolewa ndo wamefika... jidanganye ukachukue mwanasheria siku akiwa judge jiji utalikimbia

daaaa haya bana kila la kheri nawew upate wa dizain hiyo
 

yaan ubaguzi huu dah eti akiwa mwl au ness dah umenipagua mkuu ongeza sifa hutaki na appeal high court
 
kuna akina single moms kibao humu.. wape bonus bhana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…