Mabinti nao kumbe ving'ang'anizi......!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabinti nao kumbe ving'ang'anizi......!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eng. Smasher, Jun 16, 2011.

 1. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mambo ni aje wana JF!!!
  Zamani wakati nakua na kujua Mapenzi nilidhani Wanaume peke yetu ndo ving'ang'anizi hata binti akikuambia hakutaki unakomaa nae hadi kieleweke lakini siku hizi Mabinti ni balaa unamwambia humtaki still anataka awe na wewe!!!!

  Hivi hii ndo Haki sawa kwa wote au ndo mambo dunia ya sasa!!!!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nin mbaya mjomba?
   
 3. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  aaaiiiii.... unajua saaana majambozi?????? mmmmh!!!! teh teh teh
   
 4. LD

  LD JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sasa kama ninyi wanaume mnatukaba kwa nini sisi iwe kosa kuwakaba ninyi? Mnatuonea tu, waone vile.
   
 5. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  siku hizi wana ujasiri chaliangu!
  na wanatoa kweli.juzi nilikua chuo flani mwanza, nikatongozwa live.
  af mwanamke akikataa hua anaonekana mwadilif, ila mwanaume akikataa
  huonekana kama mwoga au mshamba, au weak.
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,624
  Trophy Points: 280
  well kama kanogewa unafikiri afanyaje kama siyo kudai huduma ziendelee milele na milele............................
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wakati ukiningangania hukuona,saivi nimekuganda siku mbili tu umenirusha humu kweli binadamu hawana wema.
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  me apenda wewe..ajua una....bt i do lav u ..UTANSAIDIAJE SASA LABDA?
   
 9. LD

  LD JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah mnamaudhi nyie viumbe wa kiume nyie. Yani tukikubali mnatudharau, tukikataa mnatuheshimu, sasa kwa nini mnatuganda?
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Na hawa ving`ang`nizi ni wabaya kaa chonjo akipata mimba tu unae milele huyo.

  Kunamdada kazaa na jamaa ameng`ang`ania ukweni hatoki na jamaa kisha mfukuza kashindwa kaamua kuhama makazi .
   
 11. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sio mbaya lakini nashangaa siku hizi mmepata wapi huo ujasiri au ndo mmekuwa wengi kutuzidi??

   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hasa wakiwa karibu na Christmas, lazima wakabe!
   
 13. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hhahaahaaa!!!Umenifurahisha lakini wengine hata hayo majambozi hawajapewa!!! Nini tatizo hebu tuambien wadada

   
 14. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  aaaaiiiii, body inauzaaa????? teh teh
   
 15. P

  Pat Gucci Senior Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaah! mambo gan hayo? m' PM bhana! c o mnatokeana hivi laivu laivu, MBONA WABONGO MNAKOSA USTAARABU?
   
 16. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo nakuunga mkono chalii yangu,
  hiyo ilinitokea dada alionesha nia zote na matendo yote lakini nikawa sina mpango
  akawa anawahadthia wenzie kuwa nina AIBU sn siwez kutongoza et!!!


   
 17. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahaa!! Acha wizi Romance!!!

   
 18. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rose sina msaada chalii yangu, kumbe hata ww unao huo ujasiri??!! hahahaaaa.

   
 19. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  aaaiiiii!!!! basi haiuziiiii.. teh teh teh weee si ulitaka jibuuu kama kang'ang'ana nawe dudu mtuu..mmmmmh!!!!!!! siaminiii
   
 20. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  vile inatokea kwa mwanaume kuwa king'ang'anizi nini mbaya ikitokea kwa mwanmke

   
Loading...