Mabinti huwa mnahitaji nini?

mimi nawafananisha na ndege kwa hatua zao kujifunza kuruka,kuruka na kuchoka kuruka. naongea kwa mifano ujifunza mapenzi,unogewa kufanya mapenzi kwa watu tofauti,uchoka kufanya kwa watu tofauti ndipo wanahitaji ndoa.
 
Kila mtu anajua anachohitaji mambo yake anapomkuta mwenzake tofauti ndio hapo mambo yanapoharibika
 
Kila mtu anajua anachohitaji mambo yake anapomkuta mwenzake tofauti ndio hapo mambo yanapoharibika
Point yangu ya msingi ni kuwa wanapewa kila kitu halafu bado matatizo
 
mabinti wanahitaji kupepewa, km huyo pichan hapo ANAITAJI APATE YA KIMASAI NADHANI ATATULIA!
 
Nimeileta hii thread ili muone ukweli wa thread ya michele na ukweli niliousema!!
 
Wanawake wanajua wanachotaka ila wengi ni wazito kusema wanataka nini kwa wapenzi wao. Hata wale wepesi wa kusema huwa wengi hawaridhiki na wanachopewa.
Mfano mwanamke anaweza akawa amechoka na shida ya usafiri akataka anunuliwe japo kivitz ila utakuta ni ngumu kumwambia mpenz wake hali ya kuwa anajua mpenz wake ana uwezo wa kumnunulia. Ikitokea njemba ya pembeni amenunua bila kuombwa unakuta anaanza kuhamisha upendo kwa njemba kidogo kidogo.
Mwingine anaweza akapewa kivitz akatamani angepewa range kabisa.
Pia tunapowalalamikia wanaume tunapenda mtuoneshe huruma ila wanaume mnapolalamikiwa mnapenda kutatua tatizo bila kuonesha huruma au kuonesha kuwa unafeel vile mpenzi wako anajifeel.
Mfano, mwanamke anakupigia simu anakwambia anaumwa. Wanaume wengi huuliza unaumwa nini?, umeenda hospitali? Akijibiwa sijaenda utasikia nakupitia hapo au nakutumia mtu aje akuchukue akupeleke hospitali.
Wanawake wengi huwa tunatarajia kauli tofauti kabla ya hiyo ambayo hutupa relief. Mfano "pole mpenzi wangu, au ni uchovu tu, unaumwa sana baby wangu?, jaribu kupumzika kidogo nitakupigia baadae kidogo nione unaendeleaje. Pole mamii yaani hadi na mimi nimekosa raha."
hizo sentesi zinaonesha namna gani ulivyoguswa na tatizo, sio lazima useme kama zilivyo ila katika hatua ya awali onesha namna ulivyoguswa halafu ndio ukimbilie kusolve tatizo.
Ni hayo tu kwa sasa.
 
kuishi na binadamu kunahitaji akili sana , maana hakuna mahali unaweza kupata kila kitu
at least iwe more than 80%
 
Ukiondoa wanawake ambao haya mambo ya kuacha ni tabia yao nina uhakika waliobaki ni waaminifu na wavumilivu ila siye madume ndo tunakosea,tunapunguza mapenzi kwao
 
Kwa taarifa yako King'asti ukimcare sana ndo atakudharau wala kwenye apointment ndo hatokei,ukwa rud ndo afadhali kidogo,sio siri siwaelewi mabint na sio mimi tu,nimetoa mfano mmoja hapo wa Justine Timbarlake na wapo wengi tu na kuna watafiti wamesema mabint hawajui wanachohitaji kutoka kwa wanaume wengine wamesema hawahitaji kitu,hii inachanganya,kuwa mkweli utusaidie mama!!

mmh nadhani wote hatujui tunachokipenda, guys niliowapenda saaaaaaana, na kuwajali niliishia kuvunjwa moyo tu, ila ambao sikuwapenda hata kidogo wananing'an'ania mpaka kesho mwisho wa siku nimeamua kujipenda mwenyewe tu sisumbuliwi na kitu
 
Husninyo nimesoma maelezo yako,mifano uliyotoa imeegemea sana kwenye mapenzi ya vitu,ambayo ni mapenzi ya kijinga zaidi na hayana muda kwani vitu thamani yake ni ya muda mfupi na utataka zaidi,ukipewa hiki utataka kile,ukiridhishwa kimapenzi utataka upande ndege,akipatikana atakaekupandisha ndege,unakinai utataka mwenye nyumba kando ya bahari,ukikinai utataka ukaishi ulaya yaani ni full matatizo!
 
mmh nadhani wote hatujui tunachokipenda, guys niliowapenda saaaaaaana, na kuwajali niliishia kuvunjwa moyo tu, ila ambao sikuwapenda hata kidogo wananing'an'ania mpaka kesho mwisho wa siku nimeamua kujipenda mwenyewe tu sisumbuliwi na kitu

Umefanya jambo zuri,ukijipenda hautakuwa na njaa ya kupendwa,ukija kuwa kwenye mahusiano unatakiwa ni kupenda tu,siri ya upendo ni kutoa upendo tu!
 
Hapo umenena husniny wanawake wanapnd kubembelezw sana,co wote wanahtj pesa unaweza ma kila k2 bt if huna mabembelezo lazma apae kwny mt mwngne, besidz its men wh mk women!
 
Wanawake nyie ni pasua kichwa thats why Mungu ametuambia tuishi na ninyi kwa akili,huwa hamjui mnahitaji nini,mnaweza kupewa vyote lakini mkahisi something is mising!

Niliiona hii mahali nikaipenda ' just love a woman never try to understand her, for man just understand him never love him' Unajua we are ver ver different creatures hatufanani hata chembe ndo maana hakuna kitu kinaitwa usawa wa jinsia, kila gender iko unique kivyake. Yaani baada ya breakups nyingi nowdayz sijijui nataka nn hasa in man! angalau nina moja baada ya kufuta list yangu ya 100 points I want from a man nayo ni VALUES, period natafuta nyingine from experience n maoni ya watu, ila CASH inaweza ingia lakini c no 2! lol
 
Kama huna pesa usitegemee kupata mapenz yoyote! Wanawake wa siku hzi ni wajasiriamali sana!
 
mabinti wengi tatizo hawajikubali kua kunamuda lazima wabadilike wanaona watapitwa nawakati.
 
Back
Top Bottom