Mkuu nyoosha maelezo kidogo!
Be direct bhanaa!!!
Sema wanaume WENGINE akiwemo mtoa mada! Wamekua vimeo!
Naamini wewe huna mapigo haya!!!
...
This is 1 among the result of Bad bring up! Boys and girls to be treated equal!!!!
Hapa hakomi mtu.
Mwendo wa mpera mpera mpaka mzime zenu.
Na tutazidi kuwabambikia watoto mpaka akili iwakae sawa.
The real thing ni kwamba Nimetoka juzi tu hospital kumuuguza ma wife ambaye namshukuru Mungu amejifungua salama mtoto wa kike (nitaanzisha sredi kuwaashukuru kwa mixhango yenu) kwahiyo lengo halikuwa kumsiluza yule binti, bali kwajinsi nilivyotoka hospital na kujua reality ya shida zotwiksnibidi nijiulize sana hayo mskitu
huyo dada ye ndio hana machungu ya kukimbiwa na the so called BABA waa mtoto!!!!!
tumemuelewa lakin hakuwa na haja ya kumtumia huyo dada as a VICTIM wa hayo machungu yake!!
Masikio hayana kifuniko kama ambavyo macho yenu yasivyo na pazia...
Wengi mnamsimanga mleta mada kwa nini alisikiliza aliyoyasikia...
Lakini mbona hamjiulizi ninyi kwa nini mmesoma aliyoyaandika na kuanza kupaza sauti zenu...
Haikuhusu sepa, tena chapa lapa...inakuhusu changia kulingana na kinachopaswa kujadiliwa...
Alaaaaaaaa!!!!
na muendelee kukaza uzi hivyo hivyo nisijue mpaka naondoka hapa duniani ,,,,,,,,,
vinginevyo nitawala tigo wote watatu,,,,,yaani wewe , huyo mtoto uliyenibambikia na huyo baba wa damu wa huyo mtoto.........
na muendelee kukaza uzi hivyo hivyo nisijue mpaka naondoka hapa duniani ,,,,,,,,,
vinginevyo nitawala tigo wote watatu,,,,,yaani wewe , huyo mtoto uliyenibambikia na huyo baba wa damu wa huyo mtoto.........
mwanaume unakuwa mbeambea na mshakunaku,maongezi ya watu yanakuhusu nini mpaka unawashwawashwa kuleta hapa JFHabari zenu MMU!
Jana nipo ndani ya daladala nyerere road-kariakoo kulikuwa na dada mmoja nimekaa nae kabeba mtoto mapajani huku anabofyabofya simu, baada ya dakika chache akawa anaongea na mwenzake kwa simu, ingawa maongezi yake yalikuwa yanakatikakatika kutokana na uhaba wa vocha na networks lakini niliweza kuunganisha some dots.
Kiufupi yule dada akimzungumzia mshkaji wake akisema "Unajua mtu mwenyewe simuelewi ameamua kukimbia, eti anasema huyu mtoto sio wake, kama juzi alikuja akaniomba ela elfu10nikampa, sasa yeye badala ya kukaa tukaongea ye anaamua kukimbia! !".
Kwa ufupi hiyo ndio ilikuwa main contents ingawa simu ilikuwa inakatakata. sasa mimi nikaamua nigeuke vizuri ili kumwangalia yule bebito, aisee ni kama ana miezi 4 au 5 hivi, kwanza mtoto ana kiwalaza kichwani, halafu keupe flani na nywele zake ni half-partial kanjibhai! ! Dah nouma sana!! Yani hata ningekuwa mie ningetoka nduki aisee! !
Mi nina imani ni mama mwenyewe ndo anajua siri ya baba wa mtoto, sasa kwanini asiwe mkweli? Na hata yule dada theway akivyoongea, ni full changalamacho! !
Yaonyesha watoto wengi ni wa kubambikiwa kwenye familia zetu yani! !
hata mpira unachezwa ule ule lakini fomesheni zinatofautiana ,,,,,,,, hivyo hivyo mleta mada katumia fomesheni yako , japo hata mimi naona amekurupuka kwa kuhukumu muonekano wa ukanjibhai wa mtoto bila kumfahamu huyo baba wa upande wa pili,,,,,,,,,,,,
angalizo;hebu na nyie muwache kubambikia watu mimba bana......... hamuoni kama mnaongeza wimbi la kuvictimiziwa kwa kuzidi kuwajeruhi madume mtaani?
utashitakiwa na jamhuri ya muungano wa tanzania ndio ufie jela.Nyie endeleeni kuleta madharau yenu, lakin ikifikia inshu nzito kama ya kuhusu mtoto naanza kuitunza mimba mpaka unajifungua, nimegharamika tena kwa upasuaji halafu dakika ya mwisho nafonalise mtoto siwa kwangu, nachinja! ! SHingo ni halali yangu pambav zenu! !
Mtot kakosa nini sasa........si mnaona mawazo yenu looh.....
Inasikitisha sana I hope ur not SERIOUS why hurting the KID.........
he is Innocent he doesnt even know what the hell is going on in the WORLD!!!!!!!
REALLY U SURPRISED ME!!!
Hahah hata mimi aisee sitoua ni mwendo wa tiGo kwa wote kasoro mtoto tu!
ha ha ha!!!!!!!!!!
ndiyo muache kubambikia watu ,,,,,,, huku mnawapeleka puta puta.......
U can't be serious...
Sawa wenye masikio watakuwa wamesikia.......
kama match za mchangani wacheza na timu tofauti ndo hapo ubambikizaji unapokuja!!!!
usicheke umenishangaza sana........hivi kukusingizia mtoto kunaweza kukufanya
um hurt huyo mtoto looh