Andunje Mdogo
Senior Member
- Sep 17, 2013
- 118
- 39
Be smart mkuu, mbona we ni wa kitambo hapa, etlist maveterani tuwe tunaheshimiana bro! ! Kwahiyo hujaona chochote cha kuchangia kweli? Anyway labda unazeeka vibaya! !
Hawa ndo ukikaa nao kiti kimoja wakiona unachat na mtu hawaishi kuangalia sms zako... yani saivi wanaume tumejaa maneno kuliko hata wanawake!
Ni udanganyifu tu ila wadada wakiambiwa ukweli wanageuka mbogoMimi nilikuwa na demu,baada ya kuchuniana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu,akaja home na mimba,bahati mbaya akakuta muzetya nimetuliza mutoto gheto,na ana mimba changa.Alitoka mkuku halafu akaanza kutuma sms kudai kwamba alishawaambia home kwao kwamba mimba ni ya kwangu,nilimshangaa kidogo nimtukane na kumuuliza hiyo miba iliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu au?????Ila in Short Demu wangu yule alikuwa katili,kwa sababu alifanya vile akijua kwamba mimi nilimpenda kupita kiasi,kwa hiyo alidhani kwamba akija na mimba yake basi nitakuwa nimesahau makosa aliyonitendea na kumwonyesha LOVE kama zamani!!!!For sure kama angekuja mtupu bila tumbo nilikuwa tayari kumwacha wa sasa na kumchukua YEYE,lakini kwangu kuja na MIMBA ya mtu mwingine ni DHARAU kubwa sana.Je wadada mnasemaje???????
Waume wa siku hizi ni wachonganishi, wamebakiza kusutwa tu.2kisema kuna wanaume wa mbea mnasema 2mewatusi haya ngoja 2kaege kimya!!
Ndo mana yake.
Mjini hapa.
Jifya moja haliinjiki chungu.
Waume wa siku hizi ni wachonganishi, wamebakiza kusutwa tu.
Masikio hayana kifuniko kama ambavyo macho yenu yasivyo na pazia...
Wengi mnamsimanga mleta mada kwa nini alisikiliza aliyoyasikia...
Lakini mbona hamjiulizi ninyi kwa nini mmesoma aliyoyaandika na kuanza kupaza sauti zenu...
Haikuhusu sepa, tena chapa lapa...inakuhusu changia kulingana na kinachopaswa kujadiliwa...
Alaaaaaaaa!!!!
Hahahahaaaaaa!!!! Mimi nitamletea Skin tite pamoja na Udi wa mawaridi, shanga, na wanja ufananao na Dera!!!
This is JF.........haiwezekani wote tuwe tunafikiria sawa........
wengine wameenda beyond.....let say ME nimejiuliza mtoa mada
ametumia criteria gani kujua kuwa yule dada anadanganya!!!!!!
kusikiliza tu maongezi then una jump into CONCLUSION!!!!!!!!!!!!!!!!
mtoto yuko kama kanjibhai what if huyo alokuwa anaongea nae pia ni Kanjibhai........
inawezekana alikuwa na nia njema ila uwasilishaji wake namna ulivyo lazima mtu uwasilishe concern zako!!!
ndiyo anawaambia mkome na hizo tabia...........
Just nina imagine jinsi nilivyoilea mimba ya ma wife halafu at the end nakuta kimeo, how real pains? ? Siezi vuja povu just reality
ana machungu sana , kwani ana mtoto mchanga anayemuhudumia..........
this is jf.........haiwezekani wote tuwe tunafikiria sawa........
Wengine wameenda beyond.....let say me nimejiuliza mtoa mada
ametumia criteria gani kujua kuwa yule dada anadanganya!!!!!!
Kusikiliza tu maongezi then una jump into conclusion!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtoto yuko kama kanjibhai what if huyo alokuwa anaongea nae pia ni kanjibhai........
Inawezekana alikuwa na nia njema ila uwasilishaji wake namna ulivyo lazima mtu uwasilishe concern zako!!!