Umenikumbusha kitambo sana demu wangu alichaguliwa kufundisha shule moja huko Wilayani kwenye shule zetu za sekondali za kata basi ktk kuishi pale kijijini mfanyabiashara mmoja akaamua kumuibukia kwa kumpatia barua ambayo kwa jinsi nilivyohadithiwa ilikuwa ni kama anaomba kazi vile
"Habari yako dada? Shikamoo!! ujue mie nakupenda sana tuwe wamoja tufanye mapenzi n.................." it was so funny nikasema duh aise hata bush kumbe wapo waimbishaji
KWA KUOGOPA KUDANGANYWA SIKUENDELEA KUMHOJI KAMA ALITOA PAPUCHI AU LA
Je kuna utofauti wowote ukitongozwa na mtu aliyesoma na asiyesoma,akikutongoza na mtu aliyeacha shule akiwa form two na mtu mwenye master yake nani mjuzi wa kuchangisha maneno na mwenye wingi wa maneno.
Tafiti zinasema mwaunaume akiwa na elimu kubwa hupunguza maneno ya kuongea na mwanamke akiwa na elimu kubwa huongea sana.
Naomba nitoke nje ya mada! ID yako imenikumbusha ule wimbo wa supu ya kienyejii ni tamu sana.
Ndio kwani wasomi hawana uzoefu wa kutongoza but hawa street boys ndo usiseme
Wewe umewahi kutongozwa na wanaume wa aina gani?
hahaha...Hawa vijana wa siku hizi, hadi hawa maboila wanakunywa supu zao
Je kuna
utofauti wowote ukitongozwa na mtu aliyesoma na asiyesoma,akikutongoza
na mtu aliyeacha shule akiwa form two na mtu mwenye master yake nani
mjuzi wa kuchangisha maneno na mwenye wingi wa maneno.
Tafiti zinasema mwaunaume akiwa na elimu kubwa hupunguza maneno ya
kuongea na mwanamke akiwa na elimu kubwa huongea sana.
MAPENZI dunia nzima huwa yanazungumza lugha moja inayofanana...penzi linapochipua ndani ya mioyo yetu na macho hutiwa upofu..ndio maana wanasema kuwa anayependa haoni...kwenye penzi si ajabu kukuta mdada wa kizungu akipagawa kwa kijana wa kimasai asiyejua kusoma wala kuandika....kwenye penzi si ajabu kukuta mtani wangu Matege akilalama kuwa hawezi kuishi bila KikulachoChako..hapa duniani..
Nimewahi kushudia mtoto wa kihindi akiangukia katika penzi la mmachinga na kusababisha mtafaruku mkubwa baina ya wazazi wa yule binti wa kihindi na yule kijana...hali iliyopelekea yule binti kupelekwa ulaya kwani ilikuwa ngumu kuwatenganisha kwa sababu nguvu ya penzi ilikuwa inawavuta pamoja .......
Nimewahi kushuhudia mdada mmoja ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa udaktari pale MUHIMBILI akidondokea katika penzi la kijana aliyekuwa akishinda tu kijiweni pale mitaa ya Tambaza.....hapo utapata picha kuwa penzi halichagui kwa kumea bali humea popote...
PENZI HUSHANGAZA...PENZI HUSTAAJABISHA...
Sidhani kama kuna tafiti zilizofanyika...huo tunauita uzoefu. Tafiti zinaendana na twakwimu au facts. Ila pia maneno mengi au machache hayaendani na elimu nakataa kabisa. Wingi wa maneno kwa mtazamo wangu unaendana na kiasi gani huyo mtu amekupenda"how much that guy is into you".....my view.
Tafiti hizi
Msomi hana maneno meng na saikolojia ipo kchwan na anaitumia ila wa mtaan nae ipo vzur sema anaipuuzia. Kingne wasomi wao ni karamu na karatas yaan wamekarir njia za utongozaj ndo maana katka kutongoz hawana maneno ila wa mtaan wao wanaish kwa vitendo na hujchanganya sana ndo maana maneno hayawaish. Hayo N badhi tu .
Mhmmmmm!!!!!hivi kusoma Ndo kuwa na pesa?
anyway Nina muda mrefu sijapata tongozo wajuzi watakuja.
Badala ya kujibu swali umeanza matusi, unajifunza matusi ukubwani eehh..kamuulize dada yako