Mabinti hebu nithibitishieni hili

Mabinti hebu nithibitishieni hili

Je kuna utofauti wowote ukitongozwa na mtu aliyesoma na asiyesoma,akikutongoza na mtu aliyeacha shule akiwa form two na mtu mwenye master yake nani mjuzi wa kuchangisha maneno na mwenye wingi wa maneno.

Tafiti zinasema mwaunaume akiwa na elimu kubwa hupunguza maneno ya kuongea na mwanamke akiwa na elimu kubwa huongea sana.

Barua ya kuomba kazi ya mtu asiye na vyeti huwa ni ndefu sana kuliko ya mwenye vyeti, mwenye vyeti anasema tu refer atachment 1, lakini asiesoma anatoa wapi attachment? hapo lazima aseme sana sana ndo aeleweke.
 
and vice versa is true
 
Back
Top Bottom