RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,799
- 129,636
Umenikumbusha kitambo sana demu wangu alichaguliwa kufundisha shule moja huko Wilayani kwenye shule zetu za sekondali za kata basi ktk kuishi pale kijijini mfanyabiashara mmoja akaamua kumuibukia kwa kumpatia barua ambayo kwa jinsi nilivyohadithiwa ilikuwa ni kama anaomba kazi vile
"Habari yako dada? Shikamoo!! ujue mie nakupenda sana tuwe wamoja tufanye mapenzi n.................." it was so funny nikasema duh aise hata bush kumbe wapo waimbishaji
KWA KUOGOPA KUDANGANYWA SIKUENDELEA KUMHOJI KAMA ALITOA PAPUCHI AU LA
Ukiona manyoya.......?