Mabingwa watetezi leo: Simba Vs Toto African

hii ni chamazi complex leo

73110_594690010542402_606772412_n.jpg

Hii ligi inaisha vizuri.
 
Hivi simba ni yangapi kwenye msimomo wa ligi..
 
Mpira umekwisha: SIMBA 2-2 TOTO. wafungaji magoli ya simba Mrisho Ngasa na Amri kiemba. Wafungaji wa toto sikufanikiwa kupata majina yao. Bundi bado yupo msimbaz.
 
ndetichia ndio pekee analeta hofu.
 
Last edited by a moderator:
kabla gemu ya leo walikuwa watatu sasa ni wanne kama ikiisha droo

Kutoka Kagera
>> Kagera Sugar 2 - 0 Mtibwa Sugar
hivi kwenye mechi kama hii ya mmiliki mmoja,mwenye timu hushabikia timu gani?
 
...ili la Simba msimu huu halielezeki kwakweli; sasa hivi tunapumulia nafasi ya NNE! duh!!!.
 
Nilitaka kushangaa Tangu lini Simba akamfuga Toto!
 
Mpira umekwisha: SIMBA 2-2 TOTO. wafungaji magoli ya simba Mrisho Ngasa na Amri kiemba. Wafungaji wa toto sikufanikiwa kupata majina yao. Bundi bado yupo msimbaz.
siku simba ikikutana na yanga itafungwa goli 8 ili rage ajiuzulu. mia
 
Back
Top Bottom