Mabingwa watetezi leo: Simba Vs Toto African

Mabingwa watetezi leo: Simba Vs Toto African

Hapa ccm kirumba timu ndio zinaingia uwanjani kuanza kipindi cha pili.
 
Simba wanapata goli la pili, simba 2-1 toto.
 
hii ni chamazi complex leo

73110_594690010542402_606772412_n.jpg
 
2-2

kocha wa simba kachanganyikiwa, tangu mpira uanze hajakaa kwenye kiti
 
Simba wanakosa goli la wazi hii nafasi wataikumbuka
 
Toto nao wanakosa goli la wazi... Simba wameshapoteana
 
Toto wanakosa goli lingine simba wamepoteza umakini
 
Mshambuliaji wa toto kadondoshwa kwenye eneo la hatari refa kapeta. Mpira umesimama
 
Back
Top Bottom