Mabingwa watetezi leo: Simba Vs Toto African

Mabingwa watetezi leo: Simba Vs Toto African

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
Mabingwa watetezi
Simba, leo wanashuka
kwenye Uwanja wa
CCM Kirumba, Mwanza
kuivaa Toto African (ndugu wa damu na timu ya Yanga) katika mechi ya Ligi kuu ambayo
inatarajiwa kuwa na
ushindani mkubwa
kwani Simba inashuka uwanjani baada ya kufungwa bao 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo uliopita na kubaki nafasi ya tatu, ikiwa na pointi 34.
Simba watakuwa
wakipigania ushindi ili kuongeza hali ya utulivu
ndani ya klabu yao, ambayo inaonyesha kuchechemea katika Ligi kuu ya Tanzania Bara.

TIMU SUPPORTERS:
- Gamaha
- christmas
- brave one
- mimi
- ndetichia
- Masuke
- PrN-kazi
- kelao
- Cynic
- KYALOSANGI
- Crashwise
- Omonto
- rmashauri
- bemg
- Mkolokotiatanas
- jambia
- Busurwa
- kmbwembwe

Na wadau wote wa Msimbazi

============================
Mwananchi: Simba kuzuiwa hotelini mjini Bukoba:
Wachezaji wa timu ya Simba kwa mara nyingine walizuiwa kutoka hotelini kutokana na uongozi kushindwa kulipa Sh6.5 milioni za gharama za hoteli ya Smart mjini Bukoba.
Gharama kubwa za hoteli hiyo zinatokana na baadhi ya viongozi kubeba wanachama wao katika safari yao ya Kanda ya Ziwa ili kuwalinda wasiondolewe madarakani. “Timu ilikuwa iondoke saa 10 alfajiri kwa basi kwenda Mwanza, lakini mpaka saa sita ndiyo iliruhusiwa kuondoka baada ya kulipa deni hilo, yaani ni aibu tupu!

CHANZO: Mwananchi
 
na leo pia azam fc tupo uwanja wa mabatini hii gemu itakuwa laiv kupitia starTV so stay tuned..
 
Mabingwa watetezi a.k.a "wazee wa chekechea" leo wanaongezewa maumivu Kirumba. Pamoja na methali nyingi za busara kama "sumu haijaribiwi kwa kuonja" na "kima cha maji hakijaribiwi kwa kuingiza miguu" wao wanajifanya kichwa ngumu kuwajaribu chekechea wengi kwa mkupuo. Time will tell.
 
Mabingwa watetezi
Simba, leo wanashuka
kwenye Uwanja wa
CCM Kirumba, Mwanza
kuivaa Toto African (ndugu wa damu na timu ya Yanga) katika mechi ya Ligi kuu ambayo
inatarajiwa kuwa na
ushindani mkubwa
kwani Simba inashuka uwanjani baada ya kufungwa bao 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo uliopita na kubaki nafasi ya tatu, ikiwa na pointi 34.
Simba watakuwa
wakipigania ushindi ili kuongeza hali ya utulivu
ndani ya klabu yao, ambayo inaonyesha kuchechemea katika Ligi kuu ya Tanzania Bara.

TIMU SUPPORTERS:
- Gamaha
- christmas
- brave one
- mimi
- ndetichia
- Masuke
- PrN-kazi
- kelao
- Cynic
- KYALOSANGI
- Crashwise
- Omonto
- rmashauri
- bemg
- Mkolokotiatanas
- jambia
- Busurwa
- kmbwembwe

Na wadau wote wa Msimbazi

============================
Mwananchi: Simba kuzuiwa hotelini mjini Bukoba:
Wachezaji wa timu ya Simba kwa mara nyingine walizuiwa kutoka hotelini kutokana na uongozi kushindwa kulipa Sh6.5 milioni za gharama za hoteli ya Smart mjini Bukoba.
Gharama kubwa za hoteli hiyo zinatokana na baadhi ya viongozi kubeba wanachama wao katika safari yao ya Kanda ya Ziwa ili kuwalinda wasiondolewe madarakani. "Timu ilikuwa iondoke saa 10 alfajiri kwa basi kwenda Mwanza, lakini mpaka saa sita ndiyo iliruhusiwa kuondoka baada ya kulipa deni hilo, yaani ni aibu tupu!

CHANZO: Mwananchi

nitake ladhi mkuu #teamAzamfc hapa..
 
nimeikuta somewhere mtandaoni...
[TABLE="width: 650, align: center"]
[TR]
[TD="class: headline, bgcolor: #FFFFFF"]Toto: Yanga tuchapieni Polisi, tukumalizieni Simba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: headline, bgcolor: #FFFFFF"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: storyheader, bgcolor: #FFFFFF, align: left"] MASOUD MASASI
LIGI Kuu Bara imenoga. Toto African wamewaambia Yanga wawachapie Polisi Morogoro leo Jumamosi mjini Morogoro na wao Toto watawakandamiza Simba jijini Mwanza.

Kocha Msaidizi wa Toto African, Athumani Bilali amesema Simba ikipanga vijana kwenye mechi hiyo, wataumia kwa kuwa watawafanya kitu kibaya, lakini pia ameomba Yanga wawasaidie kuwachapa vibonde wenzao Polisi Morogoro.

Bilali alisema ni kawaida wao kuwafunga Simba hivyo hawahofii hata kidogo kwenye mchezo huo na amemtahadharisha kocha Patrick Liewig kuwa akiwapanga vijana wake yosso atarajie kipigo cha kufa mtu.

�Simba huwa hawatusumbui kabisa na kocha wao akipanga ile timu yake ya yosso tutawachapa nyingi kwa kuwa amechelewa sana kuwatumia kwa hiyo hawana uzoefu wa kupambana na mikiki ya Ligi Kuu,�alisema Bilali.

Alisema anaamini kuwa Yanga itawafunga Polisi Morogoro kwenye mchezo wao hatua ambayo anadhani itawasaidia kuondoka kwenye mstari wa kushuka daraja.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Go Simba go, usione Simba kalowa ukafikiri ni nyau. Simba team funga Toto 3-0 ili washuke daraja kabisa Yanga B hao, yani ni kama kile chama kinachoitwa CCM C
 
nitake ladhi mkuu #teamAzamfc hapa..

Akutake radhi nini, kwamba weye siye mmoja wa girls was LIBOLO? Huyu aliyeku-expose ni Simba, anatakusingiziaje huku akijua fika wewe ni mmoja wao walioliwa na LIBOLO? Come on, cut the bull!

You can fool some people some time.....malizia mwenyewe.
 
Ndio napata ugali wangu na kitimoto hapa nyegezi ili niwahi game kirumba mnyuama akiuliwa
 
Ndio napata ugali wangu na kitimoto hapa nyegezi ili niwahi game kirumba mnyuama akiuliwa

Mkuu mie nagonga ugali na mbuzi choma hapa Msamvu baada ya hapo naelekea Jamhuri Stadium kushuhudia Yanga ikiishusha daraja Polisi Morogoro, kesho nakuja huko Zoo kusherehekea ushindi wa Toto na Yanga.
 
Wakuu hii mechi inaanza saa ngapi, yanga karibuni sana na habari za LIBOLO.
 
Back
Top Bottom