Toto wanapata bao,T-1 S-0.
Duuh! Kama ndo hivyo basi kibarua cha Rage kinazidi kuwa mashakani
Mkuu mie nagonga ugali na mbuzi choma hapa Msamvu baada ya hapo naelekea Jamhuri Stadium kushuhudia Yanga ikiishusha daraja Polisi Morogoro, kesho nakuja huko Zoo kusherehekea ushindi wa Toto na Yanga.
Dakika 41 Polisi wanakosa bao la wazi.
Naona Moro hakuna wanaJF kabisa kuripoti yanayoendelea kati ya bingwa mpya na Polisi
Beki wa Yanga anakula njano..alidunda mpira baada ya filimbi kuwa kacheza faulo.
Kirumba hakuna wanajf?