Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,206
- 16,527
safi sana tunataka live updates za uwanjani na nje ya uwanja pia!!unajua nje nako huwa kuna burudani yake!!Mkuu mie nagonga ugali na mbuzi choma hapa Msamvu baada ya hapo naelekea Jamhuri Stadium kushuhudia Yanga ikiishusha daraja Polisi Morogoro, kesho nakuja huko Zoo kusherehekea ushindi wa Toto na Yanga.