Hizi mada za leo kwenye mahusiano zinastahili tuzo. Zinagusa kila kona na kila mtu. Nimejifunza Kumbe nikioa watoto wangu wote watapata majina kutoka kwangu. Nani anataka presha baadae bwana.
Halafu wife anayempa mtoto wa kiume jina la EX wake si kuna wakati anamtamani hata mtoto wake akimkumbuka huyo wa zamani wake. Na ndio maana we have to take care kwa watoto wetu
Sasa kama husband naye akimpa mtoto wa kike jina la kicheche wake wa zamani hapo inakuwaje?
Duh! Ndoa