si kila mtu anafaa kuwa rais wa nchi. ila kila mtu anaweza akawa rais mfano Tanzania tuna maraisi wengi tu rais wa TFF,rais wa shirikisho la ngumi,rais wa FM ACADEMIA bt leo ccm wamefanya taasisi kubwa kabisa buniani office number moja presidency institution ya Tanzania kuwa cheap kama pombe za offer ukiwa na ela ya kununua form na ela ya kuwaonga watu unaweza kuupata urais . haya ndio madhala ya kuifanya taasisi hii kuwa available kwa mtu yeyote tu wamefanya taasisi hii kuwa pango la wezi na majangili aiwezekani kwa nchi yenye watu milion47.4 kwa chama kimoja kuwa na wagombea 40 wanautaka urais wakati ata marekani yenye watu 322,583,006[FONT=Open Sans, sans-serif] kwa vyama vyote aijawahi kufikisha watangaza nia 40 leo tanzania kwa chama kimoja 40 dah unadhani apo kutakuwa akuna rushwa kweli? ili kukipata cheo number moja Tanzania sio lowassa tu tutasikia wengi tu nipo katika mchakato wa kuwasiliana na Guinness world book of record inawezekana tukawa tanzania tumevunja record ya chama kimoja watu 40 kutaka kuwa marais [/FONT]