SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Gwajima Ana chopaTafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo watano tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Mshana Jr. ya kwake ni maalumu kwa safar za usiku tu.Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Title Aircraft Type PricePrivate jet ni shilling ngapi..
Na wewe unawapinga kwa kutumia takwimu zipi?sasa najiuliza hao UKAWA wanasema eti uchumi umeyumba takwimu wanazipata wapi?