Hard working and creativity is always rewarded with success , lazyness and ignorance always is rewarded with poverty .
Acheni mentality za ushamba wa kicomunist , kwa taarifa yenu ukomunist ni sawasawa na kucreate umasikini kwa wote . Na hakuna nchi ya kijamaa sikuhizi , umebaki unafiki tu . Russia na mchina kashindwa mje kuwa nyie ? . Nchi zote hizo zina idadi kubwa ya mabilionaire , hivi unajua Russia au China ina mabilionaire kiasi gani ?
Ujamaa unatengeneza mategemezi na ombaomba .
Ujamaa unatengeneza loopholes za ufisadi , udikteta , rushwa na matumizi mabaya ya madaraka , North Korea ni mfano mzuri .
Wakati wengine mnalia na kusaga meno , viongozi wachache wanaenjoy national cake .
Hiyo simu unayotumia leo isingekuwepo kama watu wangelikuwa na mentality za kishamba kama hizo ,Capitalism brings competition & competition brings creativity and creativity btings improvement in goods and services that are being offered .
Acheni ushamba , mimi mtu nikimsikia anazungumzia ujamaa namuona mshamba na ignorant tu asiyejua how economy should work
So let darwinism take its course .