Maneno ni ndugu zake kina damasi mallya,edmund mallya,yeye anaitwa felix mallya.na ni mchagga wa kibosho okaoni.nikusahihishe tuu dodoma hakuna mgogo anaeleweka kwa ela pale
Ongeza Priscus Alexander, Felix Maneno, Kazimoto
nikianza kutiririka watatoa povuuuuUnamjuaje sasa mkuu
Rostam aziz anatoka karibia na apo Kanda ya kati ya tabora. Mohammed dewji nae singidaAisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Hii kitu inaitwa NGUSU A.K.A KITU CHA BIBI,hatuna Mpango wa kuiacha,ni kama vile Dom wanavyokula VIWAVI JESHI na huku ni hivyo tu mkuu.Vp kuhusu ugoro siku hiz hamutumii
UongoUpo wrong mkuu,,hapo ambe upo sahihi ni bhanji tuu,,hao wengine wote makanjanja,,huyo boss ngasa hamna kitu,huyo kifimbo nakaa nae mtaa mmoja kilimani,peter fashion hawez mfikia hata masanja mkandamizaji,,,,sasa nakupa list ya wachache ninaowafahamu
1…Bhanji
2…maneno
3…shabiby
4…saldina
Kwenye lile jukwaa huwa unanichekeshaga sanaaa mnapo Shindana kwa hoja hatarii sanaaaAha haaa haaa wanichekesha sana mkuu hao jamaa ndo walaji wakuu wa hiyo kitu lakin wakija hapa wanavunga ni haramu
Duuu,mimi na uchaga wapi na wapi jamani.Wachaga mumeanza kujisifia
Kwahiyo nyie wachaga ndo matajiri sana kushinda wote tanzania etMpashe huyo! bila shaka huyo maneno ni ndugu wa Consolata Mallya wa Kibosho Okaoni pale Mringeni, Mloe, hapo Dodoma ni agent wa TBL, TDL, TANBEV n.k. Wagogo hawana cha maana bhana
Kwahiyo nyie wachaga ndo matajiri sana kushinda wote tanzania et
Tanzania ina Bilionea Mmoja tu
Mohamed Dewji
Source: Forbes
Vp hamjawahi kumiss japo hata kuku kwenye siku ya kula kuku? Vipi na mayai mda wa chai hamjawahi kumiss?? Kama hamjawahi basi jamaa yupo vizuriHuyo kimbinyiko alikua mzabuni we tu pale jeshini anampunga si mchezo