Mabibo! Mabibo! Mabibo.....

Mabibo! Mabibo! Mabibo.....

Bora wapika vitumbua je wauza makongoro wamechoka visigino kama kwato za ng'ombe hivi za kwako zilishalainika kama bado tumia tindikali

hahahaaa....., nipe basi kidogo nitumie maana tindikali si ndio mkorogo wako huo, eti unaondoa chunusi hahahaaa na zilivyokujaa kama makande ya maharage mekundu LOL!
 
Mie Mabibo yanantesaga sana!
Nikayala tu hata 1!
Fasta yananiteremkia chini !
Hence sikuji !
Labda nikuje na asusa wangu YNNAH .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom