First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484
- Thread starter
-
- #21
usijali ashadii, tuko pamoja sana. Nilishakuwa addicted kabla ya ku log in kwa kujisomea, lakini naona kwa michango pia itakuwa sio mbaya.aisee First Born nashukur addicts tunaongezeka jamvini..jana nilipo kuona kwangu nilijua mwenyeji... Dah! 128 post in hours... your are a reflection of mimi kabisa...Karibu saaana... and enjoy...
twende wote.unataka chumbani? Haya ingia.
asante baby mAmen karibu sana
mhhhhhhhhrrrrraaaaaha! Hapa sitoki..............milele amina....................karibu sana First Born....................karibu sana jamvini......................jisikie uko nyumbani,hawajambo utokapoooo......................karibu pia upakatwe......................swali,je? Unapakatika?................ushawahi kupakatwa.......................,je? Wewe ni mtoto mdogo?.....................ungependa kuwa mdogo kusudi upakatwe....................,je?.............JF itakupakata kama unapakatika?...................subiri utaona........na taratibu fata,kanuni zijue.................kupakatwa raha..................karibu sana
aisee First Born nashukur addicts tunaongezeka jamvini..
jana nilipo kuona kwangu nilijua mwenyeji... Dah!
128 post in hours... your are a reflection of mimi kabisa...
Karibu saaana... and enjoy...
woooowwww!!! I feel proud!
hahahahahahahahahahahahaha!!!Mhhhhh! Ashadiii, FF and FB beautiful triplets from different mothers 🙂
Mamndenyi we acha tu, baada ya uvumilivu kunishinda si nikajisahau? Asante, naomba maji ya kunywa.karibu, wewe ndo mjanja uliingia ndani then ndo unabisha hodi, welcome
thanx Ulimakafu
Nahisi ni mwathirika mmoja wapo wa jamvi ingawa mwanzoni nilijifanya sitaingia, eti nitakuwa bize na Fb, nikaona sitakuwa msomi bali mmbea.Poa First Born,naona kasi yako si mbaya jamvini.
Mamndenyi we acha tu, baada ya uvumilivu kunishinda si nikajisahau? Asante, naomba maji ya kunywa.