Mabibi harusi hivi mnalizwaga na nini siku ya harusi?

Kufanywa kila siku..hekaheka za familia mpya...kuwa mbali na wale niliowazoea.
 
Walikuwa wanalazimishwa, hivyo walilia na mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh yani kila mtu analazimishwa?! Teh sasa si wangekuwa wanatoroka kama kweli hawataki?
Sema harusi zilikua nzuri hizo, turubai linafungwa mtaa huu hadi mtaa ule kisha ni sinia za wali maharage zinasambazwa....ni kula kama hakuna kula tena, ukirudi home ni kufinywa tu.
 
Unarudi wapi kwamfano? Marufuku kurudi, tulia upambane na ndoa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wale wa zamani walikua wanalilia nini nao? Au unaa tu....
Siku hizi hawalii, bi harusi anakata uno hadi ba mkwe anainamisha kichwa chini.
Bi harusi anagonga tano kanisani
Cc Lulu na jizo
Unakuta bi Harusi alishavulia wanaume kama 30 hivi, kulazwa magetoni kila siku.

Hakuna kitu special wala uoga anaoihisi hapo zaidi ya kunormalize alichokuwa anakifanya mafichoni
 
Mwanamke kama huyo ukijenga nyumba halafu ukafikia finishing, we muachie celing board ajenge kupitia mawazo yake maana ye kaisha ona celing board nyingi
 
tatizo mawazo mama mkwe na wifi hao ndio huwa utata unawaza itakuwaje halafu huwa hawaishagi maneno
 
Mmh yani kila mtu analazimishwa?! Teh sasa si wangekuwa wanatoroka kama kweli hawataki?
Sema harusi zilikua nzuri hizo, turubai linafungwa mtaa huu hadi mtaa ule kisha ni sinia za wali maharage zinasambazwa....ni kula kama hakuna kula tena, ukirudi home ni kufinywa tu.

Enzi hizo hakuna make up, bi harusi 'anavundikwa' ndani kwa wiki kadhaa awe mweupe.

Kisha anatafuna kungu ili jicho liwe legevu kama madame wa Magogoni.
 
Aahhh
Anasuguliw na pumba za mahindi anawekwa jikoni huko apambane na joto la kupikia huku akijisugia.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom