Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

Pole sana Mabere....anaumwa muda sasa naona labda na umri plus magonjwa hali sio sawa sawa! Poleni wana familia na CDM wote
Mh. Wakili Msomi Mabere Nyaucho Marando ni Mgonjwa wa Muda mrefu na alipelekwa India na kurudi bila ya Mafanikio na kwa sasa anaendelea kujiuguza hapa jijini Dar Es salaam na cha Msingi kwetu ni kumuombea Tahfeef kwa Mwenyezimungu Mtukufu
 
Kuna jamaa ubalozin nilisikia akisimulia huyu marando na kolimba walikuwa panya wa ikulu enz za nyerere walikuwa na shabaha ya hatari kwenye bastola. Waliweza kushut kwa nyuma huku wakikimbia.

Ila siyo wakuaminika ki'nyama walimtumia sana kuvuruga upinzan
 
nimewahi kusoma mahala....kitu kama hicho...
 
Ni muda umepita toka huyu kamanda atoweke katika vyombo vya habari na siasa za Tanzania.

Hata ushiriki wake katika siasa za 2015 kuelekea uchaguzi ulikuwa hafifu.

Je amekumbwa na maswahibu gani.? Je ameachana na siasa.? Je siyo tena mmojawapo wa mwanasheria wa chadema.? Maana hata ushiriki wake katika kesi za chama hauonekani.
Id mbili za nini mkuu? Unapoanzisha uzi hutakiwi kuja na Id nyingine kujifanya unachangia na kuukubali uzi wakati wewe ni yule yule. Pumbaf.
Where is my home boy? Uliko mabere jitokeze, je unaumwa au? Ni yapi yaliku sibu? Si huku kijijini rorya tunakukumbuka sana!!!

Swali la msingi sana hili. Yupo wapi na Anafanya nini? Maana kwenye intelligencia alikuwa vizuri sana. Alikuwa anawasaidia chadema. Lkni ghafla alitoweka kuelekea uchaguzi mkuu 2015
 
Kuna jamaa ubalozin nilisikia akisimulia huyu marando na kolimba walikuwa panya wa ikulu enz za nyerere walikuwa na shabaha ya hatari kwenye bastola. Waliweza kushut kwa nyuma huku wakikimbia.

Ila siyo wakuaminika ki'nyama walimtumia sana kuvuruga upinzan
Kolimba yule aliyesema ccm imepoteza dira?
 
Kuna watu sijawahi kuwaamini kuwa wapo upinzani kwa dhati akiwemo Mabere Marando.
 
Yule ni afisa mkubwa sana lkn shughuli zake anafanyia ofisi za upinzani.
 
Id mbili za nini mkuu? Unapoanzisha uzi hutakiwi kuja na Id nyingine kujifanya unachangia na kuukubali uzi wakati wewe ni yule yule. Pumbaf.

Pum.bavu mwenyewe, Una ushahidi gani kuwa mimi complex ndiye musoma yetu.? Uache mambo ya kise*ge, kama huna cha kuchangia na uhakika wa jambo kaa kimya.
 
hata John Mnyika naye anapotea potea hivi

Afadhali mnyika anasikika na kuonekana walau kwa miezi mitatu mara moja. Ila huyu mzee marando mara ya mwisho kusikuka ilikuwa mwanzoni mwa 2015.
 
Swali la msingi sana hili. Yupo wapi na Anafanya nini? Maana kwenye intelligencia alikuwa vizuri sana. Alikuwa anawasaidia chadema. Lkni ghafla alitoweka kuelekea uchaguzi mkuu 2015
mabele ni mgonjwa tokea mwaka.Jana kisukari kinamsumbua
 
Thibitisha kwamba si wewe.

Nani aliyetoa tuhuma.? Aliyetoa tuhuma anahitajika kuthibitisha tuhuma zake. That is the natural and appropiate way of finding justice. Mpaka umeibua tuhuma means una concrete evidence za tuhuma.
 
nyepesi nyepesi ni kwamba walizozana na mbowe dakika za mwisho kabla ya matokeo kutangazwa.
mzozo wenyewe ulihusu malipo ya kesi alizokuwa akizisimamia, akadai na hajalipwa
 
Back
Top Bottom