Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

Mabele Marando alikuwa na matatizo ya kiafya, nadhani yupo kimya akiangalia afya yake..tumtakie afya njema...
 
Mabere Marando ni Mgonjwa yupo kwake Tegeta na mara moja moja anakuwa kwenye ofisi yake pale RITA Tower, binafs nmemuona na kuongea nae mara nne hv, ukikutana nae unaweza jifunza somo zuri sana juu ya siasa hapa nchini
 
Ukiwa na shobo sana lazima baadae utulizwe
 
Marando na Mrema tutawakumbuka kwa kuisambaratisha kabisa NCCR -Mageuzi.

Sasa ni zamu ya CUF.

Hizi ndizo siasa za Bongo Bandari ya Salama.
 
Mabere Marando ni Mgonjwa yupo kwake Tegeta na mara moja moja anakuwa kwenye ofisi yake pale RITA Tower, binafs nmemuona na kuongea nae mara nne hv, ukikutana nae unaweza jifunza somo zuri sana juu ya siasa hapa nchini

Kujifunza How , Marando mtu mzuro sana. Tatizoo ni nini jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi namuangalia tu mungu wa Chato.Tumuache ajidai wee mpaka mwisho.Miaka kumi ikiisha atarudi mtaani na atasahaulika kama kijambo kinavyopita.
 
Ni Miaka inakwenda simsikii mabele marando (chadema) tumemiss sana hasa enzi hizo chadema chadema kweli, si ya sasa inashindwa kutupa mwongozo wa namba hii 264?
 
Anasubiri siasa za kweli ndani ya chama, utamsikia tu. Inaonekana usanii unamshinda.
 
tumemiss sana hasa
Hakika watu wanam-misi Ndugu Marando, Wakili na Mwanasiasa Nguli. Ni kama tunavyo wamisi: Rost tamu L'Azizi, Yosef Makamba, Abdul Kinana Rahman, Imma Nchimbi, Hasani Ngwii Lizi, Ayoub Kimbau, Willy Sheikh Lukindo, Lukas Sele Silii, Jared Gachocha.....wa WAPI wanadamu hawa?
 
Back
Top Bottom