PARAGEcTOBORWA
Member
- Nov 20, 2011
- 79
- 7
wanamtumiaga kama kiraka2, hawamuhitaji kwa saana. na ushauri wake mara nyingi umewakwamisha.
Sijamsikia bingwa wa sheria mabere marando yuko wapi? pamoja na Fredie Mpendazoe, na Acardo Ntagazwa au wamewa-shibuda. hata katika kamati ya kwenda kumuona Rais wamewekwa pembeni. vivyo hivyo, nilitegemea Kitila Mkumbo angekuwa miongoni mwa wanakamati saba walioteuliwa kumuona Rais kwani ni mtambo katika kujenga hoja.
kuna tetesi kwamba kilichompoza marando ni kutetea mafisadi mahakamani akiwemo Jitu patel?
my take: 1. kama unatetea mafisadi unawezaje kujitenga na ufisadi?
2. marando anasimamia haki ipi kwa kachanganya sheria na siasa?
3. chadema hawawezi kuchafuka kwa kiongozi mkuu wa chama kuwatetea mafisadi?
4. je, marando hawezi kutoa siri za chadema kwa mafisadi juu ya namna chadema ilivyojipanga kuwashughulikia mafisadi?

usichanganye kazi ya mtu na siasa!inaonekana akili zako kama nape.ntagazwa na mabere ni chadema damu.
ulitaka kwa rais waende wote? hata kama waengeenda wote, bado usingeridhika ungetaka na wewe uende.Sijamsikia bingwa wa sheria mabere marando yuko wapi? pamoja na Fredie Mpendazoe, na Acardo Ntagazwa au wamewa-shibuda. hata katika kamati ya kwenda kumuona Rais wamewekwa pembeni. vivyo hivyo, nilitegemea Kitila Mkumbo angekuwa miongoni mwa wanakamati saba walioteuliwa kumuona Rais kwani ni mtambo katika kujenga hoja. kuna tetesi kwamba kilichompoza marando ni kutetea mafisadi mahakamani akiwemo Jitu patel? my take: 1. kama unatetea mafisadi unawezaje kujitenga na ufisadi? 2. marando anasimamia haki ipi kwa kachanganya sheria na siasa? 3. chadema hawawezi kuchafuka kwa kiongozi mkuu wa chama kuwatetea mafisadi? 4. je, marando hawezi kutoa siri za chadema kwa mafisadi juu ya namna chadema ilivyojipanga kuwashughulikia mafisadi?
Nini mafisadi hata shetani akija tutampa wakili wa kumtetea makosa yake!
Usichanganye kazi ya mtu na siasa!inaonekana akili zako kama NAPE.ntagazwa na mabere ni chadema damu.
Mkuu kwani lazima useme akili zake kama Nape?
Mbowe anajaza washkaji zake tu kwenye nafasi za uongozi. Wengine hawana maslahi kwake
Lete ushahidi ili tuamini haya unayoyasema!Mbowe anajaza washkaji zake tu kwenye nafasi za uongozi. Wengine hawana maslahi kwake