Africa_Spring
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 426
- 111
Kuna gazeti moja limeandika kuwa baba wa yule kijana aliyeuwawa huko Singida ni kiongozi wa CHADEMA huko Singida. Na tukurudi nyuma tunaambiwa kuwa CHADEMA walikuwa na taarifa juu uwepo wa vijana wa UVCCM waliotayarishwa kuleta fujo kwenye huo mkutano. Sasa hili linaleta swali, je marehemu ambaye alikuwa ni UVCCM anaweza kuwa 'alishughulikiwa' na CCM kwa kudhani kuwa yeye nduye alitoa 'siri' za mpango wa kuleta fujo kwenye mkutano wa CHADEMA?
Mkuu hii kitu ungeianzishia uziwake ingekaa vyema sana kaka...maana naona kuna hoja ya kuidiscuss hapa.