Mabere Marando asema Meseji zilizodaiwa kutumwa kwa Mwigulu ni za kuchonga!

TAARIFA YA HABAR ITV jion hii inamuonyesha mabere marando AKISEMA ET KUNAMTOTO WA KIGOGO KANUNUA MITAMBO ISRAEL INABADIRISHA NO ZA SIMU ZA WABUNGE WA CHADEMA NA KUTUMA MSG KWA WABUNGE WA CCM ZA VITISHO AHAAAAAAAAAAAAAA KISA HIKI KINAFANANA NA KILE ALICHOKATAA KUAMINI MNYIKA MWAKA 2015 KUWA KADI KURA ZA UPINZANI ZILIJIBADIRISHA NA KUAMIA KWA CCM.TUKIENDELEA KUCHANGANYIKIWA CHADEMA TUTAPOTEZA DIRA NA MUELEKEO
 
kaka Mwigulu ivi utaishiwa pumzi ukiughairisha ule mradi wako wa kupambana na CDM......Hiki chama ni kipo kwa mapenzi ya Mungu, lazima mwisho wako utakuwa mbaya tu
 
[h=1]SMS spoofing[/h] SMS spoofing is a relatively new technology which uses the short message service (SMS), available on most mobile phones and personal digital assistants, to set who the message appears to come from by replacing the originating mobile number (Sender ID) with alphanumeric text. Spoofing has both legitimate uses (setting the company name from which the message is being sent, setting your own mobile number, or a product name) and illegitimate uses (such as impersonating another person, company, product).
[h=2]How SMS spoofing is carried out[/h] SMS Spoofing occurs when a sender manipulates address information. Often it is done in order to impersonate a user that has roamed onto a foreign network and is submitting messages to the home network. Frequently, these messages are addressed to destinations outside the home network – with the home SMSC essentially being "hijacked" to send messages into other networks.
The impact of this activity is threefold:

  1. The home network can incur termination charges caused by the delivery of these messages to interconnect partners. This is a quantifiable revenue leakage.
  2. These messages can be of concern to interconnect partners. Their customers may complain about being spammed, or the content of the messages may be politically sensitive. Interconnect partners may threaten to cut off the home network unless a remedy is implemented. Home subscribers will be unable to send messages into these networks.
  3. While fraudsters normally used spoofed-identities to send messages, there is a risk that these identities may match those of real home subscribers. The risk therefore emerges, that genuine subscribers may be billed for roaming messages they did not send. If this situation occurs, the integrity of the home operator's billing process may be compromised, with potentially huge impact on the brand. This is a major churn risk.
The legitimate use cases for SMS spoofing include:

  1. A sender transmits an SMS message from an online computer network for lower more competitive pricing, and for the ease of data entry from a full size console. They must spoof their own number in order to properly identify themselves.
  2. A sender does not have a mobile phone, and they need to send an SMS from a number that they have provided the receiver in advance as a means to activate an account.
  3. A sender adopts the default network gateway identifier provided by an online service,[SUP][1][/SUP] in order to send an anonymous sms, rather than specifying a number of their own choosing.
An SMS Spoofing attack is often first detected by an increase in the number of SMS errors encountered during a bill-run. These errors are caused by the spoofed subscriber identities. Operators can respond by blocking different source addresses in their Gateway-MSCs, but fraudsters can change addresses easily to by-pass these measures. If fraudsters move to using source addresses at a major interconnect partner, it may become unfeasible to block these addresses, due to the potential impact on normal interconnect services.[SUP][2][/SUP]
[h=2]What is SMS Spoofing?[/h] SMS Spoofing allows you to change the name or number text messages appear to come from.

[h=2]The Story Behind SMSspoofing.com[/h] SMSspoofing.com initially was a service that launched in August 2005 allowing users to spoof SMS text messages. However, the service only lasted a few days due to legal threats from around the world. Pressure was put on us by our bulk text messaging provider because mobile carriers around the world were complaining that they were responsible for thousands of spoofed SMS messages. The plug was pulled and we were forced to stop offering our SMS spoofing service. In a matter of days over 250,000 people had visited this site and over 25,000 users from around the world, mostly in Europe (specifically the Czech Republic, where we were prominently featured by the media), had signed up for our service.

This website has pretty much been abandoned until we decided to turn this site into an information site in June 2008! Now we're back and ready to share some of our knowledge on SMS spoofing around the world.

[h=2]About SMS Spoofing and How it's Done[/h] Nowadays SMS spoofing is not as easy as it used to be back when we first opened this site. Bulk text messaging carriers, who typically enabled their customers to set their number A.K.A. Sender ID, now feel the need to police their services and restrict their customers from using this feature. An example would be Clickatell. Clickatell is one of the worlds largest bulk SMS providers and their customers probably send millions of text messages a day through their services. To avoid any legal issues with the mobile carriers, Clickatell now restricts the use of the Sender ID so people cannot spoof SMS with any name or number they choose, even though setting your reply address may be a crucial need and is a very fundamental feature of sending SMS messages. Clickatell probably lets certain users set the Sender ID, for obvious reasons, but its not as easy as it was years ago. There are still bulk text messaging providers out there that will allow you to spoof text messages with any name or number, you just have to search around to find them and even demo their services to see if its an unmentioned feature!

SMS spoofing works around the world on almost every mobile network as far as we know. Europe and Australia are two of the easiest places to spoof SMS messages to. The United States is probably the most difficult to spoof text messages to from our tests. We've never seen a spoofed SMS properly go through to a mobile phone in the US or Canada. We're not sure of the technical reasons for this, but the carriers seem to have set themselves up in a way to avoid this. If you want to send a spoofed SMS message to the US, you'll have to settle on using an anonymous text messaging website instead, along with a web proxy, to send your messages anonymously. A site that allows you to spoof text messages in the United States would be a huge service but would probably not last to long and the carriers would be able to suppress it, unlike Caller ID spoofing in the US.

SpoofCard.com, however, is attempting to be the first service to commercialize text message spoofing in the US, with the service going live in 2011.

SpoofTexting.com has also released an iPhone app in the jailbreak App Store, Cydia, under the name SpoofTexting which also spoofs text messages to all the carriers in the USA.

[h=2]The Legality of SMS Spoofing[/h] The legality of SMS spoofing has been brought to our attention numerous times. We have heard that a lot of countries across Europe and Asia have actually passed laws making it illegal to spoof text messages. Unfortunately, we're not sure of the details and specifically which countries have made this illegal, but we're doing research and hope to have more info soon. We are confident that text message spoofing is NOT illegal under any existing laws in the United States
 
Marando asitake kujitafutia umaarufu yeye asubiri wabunge wake wapelekwe mahakamani na ataenda kutoa ushahidi wake huko, asitafute huruma ya kitoto. Na kwa kauli yake hii makampuni ya simu yatamvaa kwa ***** wake

Dumela acha kufikiria kwa kutumia masaburi ww spoofing sms unaweza kutuma hata kwenye website zipo nyingi zinatoa huduma hiyo bure,makampuni ya simu wala hayahusiki ni simu yako tu km inasupport hiyo huduma ndo itakula kwako kinachatakiwa ni makampuni ya simu kuzuia hiyo huduma kutumika hasa kwa simu za kisasa km ipad,iphone na zinginezo ndo zinaweza kutumika zaidi(kwa upande wa hardware)ila kwa kutumia software ni very simple just register kwenye free website then tukana kwa yeyote yule hutashikwa.
 
Wewe ni wa chadema ama? Mtu kama huyo ambaye ni law expert kwa hiyo mara aongeapo kitu huwa anao ushahidi wa kutosha endapo utahitajika.
 
557047_3958432091888_2049654695_n.jpg
 
Akili zako ndogo hujui technolojia inavyokwenda wewe. Soma maelezo ya mikumi hapo chini ujue akili zako zilivyo fupi.
 
Hii ni dalili ya ulevi mbn hii ipo kitaa cku nyingi ndoa kibao zimeingia mivurugano makazini watu wanagombanishwa hawa nao eti umefuatwa israel wameshinda kurasini wakilewa wanakuja na hii ya kizamaaanii
 
Werema peleka mahakamani hii kitu huu upuuzi Marando akauongee mbele ya mahakama.
 
Hapa ndipo ni napo wakubali chadema mwanzisha mada kawa mdogoooo! Hajui technology inavyo enda hahahahaaaa!
 
TAARIFA YA HABAR ITV jion hii inamuonyesha mabere marando AKISEMA ET KUNAMTOTO WA KIGOGO KANUNUA MITAMBO ISRAEL INABADIRISHA NO ZA SIMU ZA WABUNGE WA CHADEMA NA KUTUMA MSG KWA WABUNGE WA CCM ZA VITISHO AHAAAAAAAAAAAAAA KISA HIKI KINAFANANA NA KILE ALICHOKATAA KUAMINI MNYIKA MWAKA 2015 KUWA KADI KURA ZA UPINZANI ZILIJIBADIRISHA NA KUAMIA KWA CCM.TUKIENDELEA KUCHANGANYIKIWA CHADEMA TUTAPOTEZA DIRA NA MUELEKEO
Kwa taarifa yako tu, nafanya hii research (ila not exactly but related) ni mwaka wangu wa 3 sasa hapa nilipo. Kila kitu kinawezekana hapa duniani. Kama watu wanaweza kuzaa bila kugusana sembuse hii kitu kidogo mno nanitechnolojia ya kizamani mno.
 
TAARIFA YA HABAR ITV jion hii inamuonyesha mabere marando AKISEMA ET KUNAMTOTO WA KIGOGO KANUNUA MITAMBO ISRAEL INABADIRISHA NO ZA SIMU ZA WABUNGE WA CHADEMA NA KUTUMA MSG KWA WABUNGE WA CCM ZA VITISHO AHAAAAAAAAAAAAAA KISA HIKI KINAFANANA NA KILE ALICHOKATAA KUAMINI MNYIKA MWAKA 2015 KUWA KADI KURA ZA UPINZANI ZILIJIBADIRISHA NA KUAMIA KWA CCM.TUKIENDELEA KUCHANGANYIKIWA CHADEMA TUTAPOTEZA DIRA NA MUELEKEO

IPO HIYO MITAMBO hasa kwa SYSTEM hazijadhitiwa kama za Tanzania; Simu yoyote inafanya kazi Tanzania na

Provider's hawana Control na CELL PHONE na hawana hata Umiliki watu wana 2 or 3 providers in Tanzania; while in

Western world it is very rare to do that... SIMU YOYOTE INA FANYA KAZI BONGO AS LONG U UN-BREAK THE CODE
 
Mbona Marando hamtaji huyo mtu na baba yake? Hili nalo limekuja na litapita tu. Marando anasema anazo data za kutosha basi angetaja na kimwambia mtajwa kama anaona si kweli nasi akashitaki. Marando si upasue jipu?

Kuna sehemu ya kuwatajia hawo watu pls tuwe na subira wakati muafaka ukifika huyo mtoto atatajwa tu
 
mwanasheria wa chadema mabere marando ameieleza clouds tv muda huu kuwa katika uchunguzi uliofanywa wamegundua kuna teknolojia ambayo mtu anaweza kukutumia msg kwa namba yoyote na ikaonesha kuwa ametumiwa na mtu mwingine tofauti na mtumaji wa awali kwa kutumia mtambo maalumu.inaaminika mtambo huo umenunuliwa tangu mwaka jana na kigogo mmoja wa serikali kutoka israel.

duhu, wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom