Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
sijaipata hiyo: Mwigulu katumiwa msj gani tena hizo??
Alisema ametumiwa meseji etì ile skafu anayovaa itakuwa sanda yake, sasa akawa analalamika kuwa mbona ni ndogo!!
sijaipata hiyo: Mwigulu katumiwa msj gani tena hizo??
Dumela acha kufikiria kwa kutumia masaburi ww spoofing sms unaweza kutuma hata kwenye website zipo nyingi zinatoa huduma hiyo bure,makampuni ya simu wala hayahusiki ni simu yako tu km inasupport hiyo huduma ndo itakula kwako kinachatakiwa ni makampuni ya simu kuzuia hiyo huduma kutumika hasa kwa simu za kisasa km ipad,iphone na zinginezo ndo zinaweza kutumika zaidi(kwa upande wa hardware)ila kwa kutumia software ni very simple just register kwenye free website then tukana kwa yeyote yule hutashikwa.
Mtambo unaitwa sms spoofing, Marando anasema alifanya kiapo na kila mbunge wa Chadema na kila mmoja alisema hakutuma hizo sms na ndipo alifanya uchunguzi kujua teknolojia iliyotumika ndipo ikasemekana kunauwezekano ulitumika mtambo huo ulionunuliwa na mtoto wa kigogo mmoja.
acha ushambaMarando na wenzie watakuwa wamelewa huwezi ukaongea hewa kama ile nna wacwac kamA hawakuwa wametokea baa kwanza
mwanasheria wa chadema mabere marando ameieleza clouds tv muda huu kuwa katika uchunguzi uliofanywa wamegundua kuna teknolojia ambayo mtu anaweza kukutumia msg kwa namba yoyote na ikaonesha kuwa ametumiwa na mtu mwingine tofauti na mtumaji wa awali kwa kutumia mtambo maalumu.inaaminika mtambo huo umenunuliwa tangu mwaka jana na kigogo mmoja wa serikali kutoka israel.
Mwanasheria wa Chadema Mabere Marando ameieleza Clouds Tv muda huu kuwa katika uchunguzi uliofanywa wamegundua kuna teknolojia ambayo mtu anaweza kukutumia msg kwa namba yoyote na ikaonesha kuwa ametumiwa na mtu mwingine tofauti na mtumaji wa awali kwa kutumia mtambo maalumu.Inaaminika mtambo huo umenunuliwa tangu mwaka jana na kigogo mmoja wa serikali kutoka Israel.
Alisema ametumiwa meseji etì ile skafu anayovaa itakuwa sanda yake, sasa akawa analalamika kuwa mbona ni ndogo!!
mnaodhani ni RIZ1 semeni ndiyoooooo,
Mwigulu naona umekuja hapa kujitetea kwanza mwaka 2000 alikuwa sio kikwete aliyegombea uraisMarando naona anatumia ile technic ya kina Lipumba mwaka 2000 waliposhindwa kwenye uchaguzi na jembe BWM, wakaja na uongo eti CCM wamechapisha karatasi za kura china zimewekwa kifaaa kinacho hamisha alama ya vema kutoka kwa Lipumba kwenda kwa Kikwete.
Marando asitake kujitafutia umaarufu yeye asubiri wabunge wake wapelekwe mahakamani na ataenda kutoa ushahidi wake huko, asitafute huruma ya kitoto. Na kwa kauli yake hii makampuni ya simu yatamvaa kwa ***** wake
Burn, kuna tetesi kuwa wewe ndiye Mwigulu Nchemba...sasa ngoja nikupe ushauri kidogo tu ingawa si lazima uuchukue kama yule mpangaji wa Magogoni.Marando naona anatumia ile technic ya kina Lipumba mwaka 2000 waliposhindwa kwenye uchaguzi na jembe BWM, wakaja na uongo eti CCM wamechapisha karatasi za kura china zimewekwa kifaaa kinacho hamisha alama ya vema kutoka kwa Lipumba kwenda kwa Kikwete.
Take it or leave it.Mwigulu, if you find yourself unable to articulate cohesive thoughts, then keep your mouth shut. Don't try to appear smart if you've got nothing to back it up. People will catch on and realize you're trying to fool them. They may simply laugh in your face.
Anayehusika ni Miraji Kikwete. Hata kwenye uchaguzi wa 2010 alitumia mbinu hii kutuma sms za kmchafua Dr Slaa.