Upande wa pili wa shillingi, uwepo wa Marando utasaidi CHADEMA kujua mbinu zinazotumiwa na TISS kusambaratisha upinzani. So, kuwepo kwake ni added advantage to CHADEMA.
Na mkiendekeza propaganda kama hizi hamtakaa muendelee hata siku moja - kila siku mtakuwa hamuaminiani na hamtaweza kuwa na mshikamano kama taifa
Hata kikwete aliwahi kuwa UWT mbona hujamuuliza swali hilo?UWT watu wanastafuu na kuruhusiwa kufanya shughuri nyingine. Mwiko kwake ni kutoa taarifa za ndani kwa wakati ule alipokuwa anafanya kazi. Kuna wabunge wengi ndani ya CCM walikuwa UWT, mfano Dr Kitine tena aliwahi kuwa bosi pale, na alikuwa mbunge wakati wa Mkapa, sasa kuna kosa ngani marando kuwa Chadema?
Thanks. I have found this article to be of interestKwa chama kinachokuwa kushindana na dola ni vyema kuwa na wasiwasi. Lakini hata kama Marando huyu mnayemfahamu akiondoka Chadema bado kama dhamira ya kuisambaratisha ipo itakuwepo (Na mimi naamini ipo), lakini mfumo wa Usalama huwa hauchezi bahatisha kwani wanaweza kumtumia mtu mpya kabisa na hata wale ambao waliopo na wanaoaminika kwenu Chadema.
Tofauti na mnavyodhani mie ninaemwona msambaratishaji wa Chadema ni Zitto na wala siyo Marando. Lakini kwa kuwa hofu hii ni kubwa naomba nitoe ushauri huu.
Kazi ya Usalama ni ukusanyaji wa Taarifa na uzuiaji wa Taarifa za uvunjaji wa siro za serikali kuvuja ambapo katika hili wakitekeleza kwa mfumo wan chi yetu ni lazima wakilinde chama tawala. Na kwa vile kazi yao ya mwisho ni kuendesha mapambano ya kisiri basi mapambano ya kusambaratisha vyama yapo na Chadema kwa sasa inalengwa kusambaratishwa.
Kuepuka njia hiyo kwa sasa Chadema inapaswa kupitia idara yake ya ulinzi na usalama kuwa na timu ya wataalamu ambao watafanya kazi hizi;
1. a).Ukusanyaji wa taarifa za kijasusi dhidi ya CCM.
2. b).Kuzuia mipango ya uvujishaji siri za Chadema (counter espionage).
3. c).Kuendesha Mapambano ya kisirisiri (covert operations).
Ki msingi kama chama hakiwezi kujiendesha kwa kufanya haya, kwa mfumo wa CCM na serikali itakuwa ni kazi bure kufanikiwa kushinda kwa vile utapokea wanachama mamluki na kuwaona ndiyo wanaofaa wakati hawafai na huku ukiwatimuwa wale wanaofaa ukidhani hawafai.
Nina amani Chadema wanaweza kuwa na kitengo hiki, nah ii ndiyo sababu hata E-mail za Zitto ziliweza kupatikana wakati wa vuguvugu la kuwania uongozi ndani ya Chama na hata sababu za Kafulila na wenzake kutimuliwa.
La Marando:
Kwa kawaida usalama wa Taifa akishajiingiza katika siasa anapaswa kuandika barua ya kukoma majukumu yake ya kazi na ila inakuwa mara mbili.
1. Kuacha kazi
2. Kusimama kazi kwa muda wa kipindi Fulani
Anaweza kuandika kuacha kazi, hii ikiwa na maana kuwa analipwa haki zake na mafao yanayostaili kwama mtumishi yeyote, lakini katika njia hii inaweza kuwandaliwa mpango maalum wa mtumishi kuacha kazi na akatangazwa kuwa katimuliwa au kaacha kazi lakini akawa anatumika kwa kazi maalum nab ado akawa mtumishi wa Idara.
Lakini pia anaweza kuchukua likizo ya muda maalum hata kama ni miaka 5 ua zaidi na akeleza kuwa bababu anaingia katika siasa na kule akawa anapwe Assignment maalum.
E.G: Kufuatilia mwenendo wa vyama na mipango yao kwa maana ya kubaini iwapo katika mikakati yao wanao mpango wa kupindua nchi ama kuua viongozi. Mfano katika kundi hili wapo Wabunge kama Mdhihiri, Ernest Mabina n,k ambao baada ya kuukosa ubunge na kwa umri wao wanarudi kupewa kazi tena Idarani.
Lakini wakati wakitoka hao wanapishana na wengine kama Bw. Masele (DSO) wa Geita ambaye anachukua majukumu ya Mabina kwa kuingia bungeni kama Mbunge wa Mbogwe. Kai yao ni moja kufuatilia nyendo za wabunge.
Kumbuka hao wanafanya kazi kwa siri kujua nini kinapangwa na wanajadili vipi serikali na nani wana mikakati mzizito zaidi dhidi ya serikali lakini wamejivisha miamvuli ya Ubunge na kumbe ni Usalama wa taifa na wameandika ofisini kwao kuacha kazi.
Sasa inawezekana Marando akawa aneacha kazi kweli, lakini akawa pia anaendelea na kazi hiyo, dawa ya Chadema ni kuwa na kikosi chake kama nilivyoeleza hapo juu, kwani hiyo inaweza kusaidia kupunguza MASHAKA kwa wanacham KIRUSI lakini pia kusaidia KUPATA TAARIFA ZA WAPINZANI WAO na kupanga mambo kwa kuangalia mwelekoe wa CCM huku nao wakipanga mambo kuibomoa CCM.
Labda wewe ndiyo DotCom!
Tangia 1980 nimemfahamu Marando kama Senior Official wa TISS - pole kama wewe umefahamu 1992. Hii ni timu ya watu zaidi ya 50 waliotumwa na Serikali kwenda kudhoofisha mfumo wa Vyama vingi come 1995. Siwezi kukupa details za "HOW" and "WHAT"; but I'm more than certain that MNMarando ni mvurugaji! Sina uhakika katika CHADEMA amekuwa "placed" wapi, lakini akipata access (ambacho ndicho anatafuta) na strategic plans - utaniambia kitakachotokea!
Marando amesema mwenyewe kuwa alikuwa mwajiliwa wa usalama wa taifa, sasa ni vipi aliacha kazi hiyo? Alifukuzwa? Kwa nini alifukuzwa? Alistaafu? Na alikuwa na wadhifa gani wakati anatoka huko? Je, si bado mmoja wao?
thank U, ILA NILITAMANI KUPATA MAJINA YA KAMATI KUU YA NCCR Mageuzi wakati wa mkutano huo wa Mkonge Hotel TangaMARANDO alianzia NCCR baadaye NCCR _ MAGEUZI baada ya waroho akina Mapalala, Fundikira na Mtikila kuataka kusambaratisha mkakati mzima wa NCCR (National Construction for Constitution Reform) ilikiwa ni vuguvugu na sio chama cha siasa 1992. Baada ya wale wazee kuondoka na baada ya NCCR kuwa imepata umaarufu ikiwa sio rahisi kuanzisha chama kingine ndipo wakaongezea neno mageuzi na kuwa NCCR-Mageuzi. Kikiwa na waanzilishi baadhi kama ifuatavyo:- Mabere Marando (m/Kiti) Prince Bagenda (K/Mkuu) Dr. Ringo Tenga, Masumbuko Lamwai, Prof. Baregu, Daniel Nsanzunkwako, Thomas Ngawaiya, Selasin, nk. Baadaye vijana wa chuo kikuu kama James Mbatia, Anthony Komu, Mosena Nyambabe, Kaiza Buberwa, Tundu Lisu, Rugemeleza Nshala nao walijiunga baada ya machafuko ya chuo kikuu ya mwaka 1992 yaliyowafukuzisha CHuo akina Mbatia, Nyambabe, Hayati Idrisa Al nuru. Hivyo utaona vibaraka na watafuta madaraka wamengia wametoka lakini bado Marando na wenzake wana Mageuzi wameisha hama chama kimoja hadi kingine hadi CCM. Kuvuruga mkutano wa TANGA ambapo Mrema aliingia uvunguni wa meza baada ya kuzima Taa ilkiwa ni kukinusuru chama kwani Mrema kama mwenyekiti alikuwa na ajenga ya kuwafukuza wote hao niliowataja (mapinduzi) kwani kwa hulka yake ya kuburuza hawa jamaa walimstukia na kuamua kuvurumisha makonde na kuchukua documents zote na hiyo ndo ilikuwa salama yao. Hivyo Marando hawahi kuvuruga Chama chochote!!!! Mwenye hoja zaidi ya hapa aje bado nipo na nilikuwapo kwenye matukio yote hayo na ninamfahamu kwa karibu.
Point of correction pls; siyo Mkonge hotel ni Raskazone hotel!thank U, ILA NILITAMANI KUPATA MAJINA YA KAMATI KUU YA NCCR Mageuzi wakati wa mkutano huo wa Mkonge Hotel Tanga
Marando kwanza alikorofishana na Mrema ambaye awali alimpisha uenyekiti wa chama cha NCCR. Akiwa katibu mkuu chini ya Mrema na baadaye chini ya Marehemu Maguto (mwenyekiti wa tatu wa NCCR) alikula hela nyingi tu ya ruzuku ya chama hicho. Ulaji huo ndio uliosababishwa ashindwe na Mbatia mwaka 2000 wakati akijaribu kurejea katika nafasi ya uenyekiti. Baada ya kushindwa kurejea katika kiti chake alikataa kumpa ushirikiano mwenyekiti mpya (hasira za kisiasa hizo) na akawa akiwashawishi wafuasi wake kukihama chama, hadi hapo yeye mwenyewe alipohama.Nimewahi kusikia hawa watu huwa wanatumika hata baada ya kustaafu,na ukumbuke ni amri.Je haitupi wasiwasi na UWT uliogeuka kuwa UWC(Usalama Wa CCM) ukawa na mikono kwenye vyama vya upinzani kupitia watu kama Marando?NCCR palitokea mgogoro kikadhoofu sana,naomba mwenye taarifa za utendaji wake,kama alihusika na migogoro au la,na kivipi kwa wakati akiwa NCCR pia kilichomtoa huko ni nini.Nina wasiwasi naye saana.
Sahihisho,NCCR (National Construction for Constitution Reform) ilikiwa ni vuguvugu na sio chama cha siasa 1992. .
Mr "X"
Theories!
Haufahamu ulichoandika hapo juu (red/bold)... Inawezekena umesoma Ukurasa wa kwanza wa "Mission Statement ya TISS"!
Pamoja sana Mkuu
Tatizo hapa jamvini ni ubishi tu ubishi tu - MN Marando bado ni mwajiriwa wa TISS - kama unakataa kajinyonge UFE!
Kanye Ulale - A piece of sh*%&
Duh mwenzangu Baba Enock, yaonekana una chuki binafsi kubwa sana na Marando. Hebu rudia kusoma michango yako yote kumhusu Marando na ujiulize kama kweli unatumia hata kabusara kadogo katika majibu yako. Naanza kuwa na wasi wasi kuwa watu kama ninyi yawezekana ndio mnatumiwa bila kujua kwa lengo la kuisambaratisha Chadema.Labda wewe ndiyo DotCom!
Tangia 1980 nimemfahamu Marando kama Senior Official wa TISS - pole kama wewe umefahamu 1992. Hii ni timu ya watu zaidi ya 50 waliotumwa na Serikali kwenda kudhoofisha mfumo wa Vyama vingi come 1995. Siwezi kukupa details za "HOW" and "WHAT"; but I'm more than certain that MNMarando ni mvurugaji! Sina uhakika katika CHADEMA amekuwa "placed" wapi, lakini akipata access (ambacho ndicho anatafuta) na strategic plans - utaniambia kitakachotokea!
Kwa chama kinachokuwa kushindana na dola ni vyema kuwa na wasiwasi. Lakini hata kama Marando huyu mnayemfahamu akiondoka Chadema bado kama dhamira ya kuisambaratisha ipo itakuwepo (Na mimi naamini ipo), lakini mfumo wa Usalama huwa hauchezi bahatisha kwani wanaweza kumtumia mtu mpya kabisa na hata wale ambao waliopo na wanaoaminika kwenu Chadema.
Tofauti na mnavyodhani mie ninaemwona msambaratishaji wa Chadema ni Zitto na wala siyo Marando. Lakini kwa kuwa hofu hii ni kubwa naomba nitoe ushauri huu.
Kazi ya Usalama ni ukusanyaji wa Taarifa na uzuiaji wa Taarifa za uvunjaji wa siro za serikali kuvuja ambapo katika hili wakitekeleza kwa mfumo wan chi yetu ni lazima wakilinde chama tawala. Na kwa vile kazi yao ya mwisho ni kuendesha mapambano ya kisiri basi mapambano ya kusambaratisha vyama yapo na Chadema kwa sasa inalengwa kusambaratishwa.
Kuepuka njia hiyo kwa sasa Chadema inapaswa kupitia idara yake ya ulinzi na usalama kuwa na timu ya wataalamu ambao watafanya kazi hizi;
1. a).Ukusanyaji wa taarifa za kijasusi dhidi ya CCM.
2. b).Kuzuia mipango ya uvujishaji siri za Chadema (counter espionage).
3. c).Kuendesha Mapambano ya kisirisiri (covert operations).
Ki msingi kama chama hakiwezi kujiendesha kwa kufanya haya, kwa mfumo wa CCM na serikali itakuwa ni kazi bure kufanikiwa kushinda kwa vile utapokea wanachama mamluki na kuwaona ndiyo wanaofaa wakati hawafai na huku ukiwatimuwa wale wanaofaa ukidhani hawafai.
Nina amani Chadema wanaweza kuwa na kitengo hiki, nah ii ndiyo sababu hata E-mail za Zitto ziliweza kupatikana wakati wa vuguvugu la kuwania uongozi ndani ya Chama na hata sababu za Kafulila na wenzake kutimuliwa.
La Marando:
Kwa kawaida usalama wa Taifa akishajiingiza katika siasa anapaswa kuandika barua ya kukoma majukumu yake ya kazi na ila inakuwa mara mbili.
1. Kuacha kazi
2. Kusimama kazi kwa muda wa kipindi Fulani
Anaweza kuandika kuacha kazi, hii ikiwa na maana kuwa analipwa haki zake na mafao yanayostaili kwama mtumishi yeyote, lakini katika njia hii inaweza kuwandaliwa mpango maalum wa mtumishi kuacha kazi na akatangazwa kuwa katimuliwa au kaacha kazi lakini akawa anatumika kwa kazi maalum nab ado akawa mtumishi wa Idara.
Lakini pia anaweza kuchukua likizo ya muda maalum hata kama ni miaka 5 ua zaidi na akeleza kuwa bababu anaingia katika siasa na kule akawa anapwe Assignment maalum.
E.G: Kufuatilia mwenendo wa vyama na mipango yao kwa maana ya kubaini iwapo katika mikakati yao wanao mpango wa kupindua nchi ama kuua viongozi. Mfano katika kundi hili wapo Wabunge kama Mdhihiri, Ernest Mabina n,k ambao baada ya kuukosa ubunge na kwa umri wao wanarudi kupewa kazi tena Idarani.
Lakini wakati wakitoka hao wanapishana na wengine kama Bw. Masele (DSO) wa Geita ambaye anachukua majukumu ya Mabina kwa kuingia bungeni kama Mbunge wa Mbogwe. Kai yao ni moja kufuatilia nyendo za wabunge.
Kumbuka hao wanafanya kazi kwa siri kujua nini kinapangwa na wanajadili vipi serikali na nani wana mikakati mzizito zaidi dhidi ya serikali lakini wamejivisha miamvuli ya Ubunge na kumbe ni Usalama wa taifa na wameandika ofisini kwao kuacha kazi.
Sasa inawezekana Marando akawa aneacha kazi kweli, lakini akawa pia anaendelea na kazi hiyo, dawa ya Chadema ni kuwa na kikosi chake kama nilivyoeleza hapo juu, kwani hiyo inaweza kusaidia kupunguza MASHAKA kwa wanacham KIRUSI lakini pia kusaidia KUPATA TAARIFA ZA WAPINZANI WAO na kupanga mambo kwa kuangalia mwelekoe wa CCM huku nao wakipanga mambo kuibomoa CCM.
Thanks. I have found this article to be of interest
Heshima kwako PAS,
Mkuu sina hakika sana kama Marando kapewa assigment ya kuisambatratisha CHADEMA,mara nyingi watu wa system wanatumia hali ya mambo ya wakati husika kufanikisha mipango yao.Mfano CHADEMA wakati huu wana vita ya chini chini ya kugombea nafasi ya kiongozi wa upinzani bungeni Zitto Kabwe naibu katibu mkuu na Mwenyekiti Freeman Mbowe wanaweza kusababisha yaliyotokea NCCR Mageuzi yajirudie tena.Rejea tena bandiko langu kazi kubwa ya UWT kipindi hiki ni kusambaratisha upinzani Marando yuko tena kwenye chama kinachoitia hofu CCM akifanikiwa tena anaweza kufananishwa na yule kachero mashuhuri sana nchini Israel Bwana Eli Cohen.