Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa Tigo. Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa? Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani, wanaongeaga na nani jamani?
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa? Yaani hata ukimtafuta simu iko busy hapatikani, wanaongeaga na nani jamani?

simu ya nyumban we unanunu kwa kazi za home yye anaongeza kazi zake