Mabehewa ya SGR kwenye reli ya MGR

Yaani hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu,wizara,TRC,Msemaji wa Serikali na Raisi kila mtu anaongea yake anayoyajua kuhusu hayo mabehewa

Nchi ishakua ya kipuuz sana hii yaan Samia haiko hata sababu moja ya kumfanya kuendelea kuwa rais hata kesho,ni km ni rais asiejua nini kinaendelea ila anaishia kuletea report mezani na anapangiwa vya kuongea

TRC inasema hayo ni mabehewa ya SGR afu leo Wizara inamjibu Heche Twitter wanasema eti hayo mabehewa ni ya MGR cjui ushuzi gan
 
Na ni kweli yapo ya SGR na MGR mfano ya MGR yalikuwa yanafanyiwa test juzi kutoka dar kwenda morogoro na kurudi tena dar.

Kitu kilichonishangaza kabisa hata mimi kwanini serekali ilishindwa kutoa ufafanuzi unaoleweka katika hili swala yani kana kwamba hata wao hawajui kinachoendelea , sisi tunachangamoto sijawahi kuona.
 
Hayo ndiyo tumeuziwa kwa zaidi ya sh bilioni kwa behewa moja?
 
Na hiyo adjstment haihitaji hata wataalamu kutoka nje. Washua wa ndani tu walioko karakana ya reli morogoro watafanya
Watayahamishaje kutoka yalipo sasa kwenda kwenye sigara (kama anavyotamka mzee jirani yangu Mkude mstaafu wa TRC)
 
Niliuliza swali hili siku ya Ijumaa pia sikupata majibu


Na wengine wanasema hivi

 
Huku huyu anasema hivi

 
Ekseli zake ni za elastiki zinavutika kulingana na upana wa reli, usiwe na shaka tayari mamefiti kwenye SGR.
 
Ni kweli budget ni ya iphone 14 ila ukitoa 4M yote wewe hupati genji, style ya manunuzi bongo always ni overstating kwahio lazma utaandikia mchongo upewe 6M ili hio excess uipate. Ikitokea mtu aliyeweka order alishafunga mkataba wa 4M na akaanza malipo ya awali namna ya pekee ni kuvuruga mkataba ili umpore tender 😀 ili ukanunue simu ya bei rahisi hata kwa 2M chinese clone ili uweze kula 2M ya genji.

Thats what happened in SGR Deal.
 
Kwa hiyo baada ya wananchi wazalendo kupiga kelele mkaenda kuyafanyia adjustment ili yatumike kwenye reli ya zamani? Maana hatuna taarifa ya kununuliwa kwa mabehewa ya reli ya zamani. Ndio mjue ccm huwa inacheza na akili za wa tz. Ndio maana mwamba alitaka kuua upinzani mambo kama haya yasihojiwe popote
 
Axle ipo rigid ile adjustment unafanyaje? Wakubali wamechemsha tu specifications anapewa manufacturer kabla hajaanza kuunda kitu wawadanganye wengine.
 
R.I.P Magufuli

..Magufuli naye alikuwa mpigaji tu.

..unakumbuka story zake za kwenda bandarini na kuokota vichwa vya treni?

..Watanganyika tulijua ule ni uongo, lakini tulijilazimisha kuwa ni ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…