Mabehewa ya SGR kwenye reli ya MGR

Hifadhi hasira zako hadi 2025

CCM haina jipya, inadandia dandia mipango wasiyoiweza
 
We sema kweli Mkuu, Kuna safari za Dar - Sauz?
Yeah zipo mkuu, kutoka Afrika kusini mpaka DSM, ni treni ya kitalii ya shirika la Rovos, hiyo treni niliishuhudia Kwa macho yangu pale Tazara DSM, hata Kwa muonekano, Iko tofauti na hizi treni zetu,

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kikweli kwa macho mabehewa yote ni used!, ila tumeambiwa ni mapya!, na vichwa ndio wakaogopa kabisa kutuonyesha!.
P
Kwa nini visipelekwe kwa mkemia mkuu, ikajulikana kabisa kabisa kama ni mupya au mutumba😄😄😄😄😄😄😄
 
Reli ya TAZARA Ni Sgr .Na Imeingia Mpaka Bandarini Na Inapita Mpaka Kwenye Tanki Za Mafuta Za PUMA
 
Wacha uongo labda useme kubadili matari
 
No hakuna mchezo wowote. Siku ile yanapokelewa mabehewa 'mapya' ya SGR, pia yalipokelewa mabehewa used 46 ya standard gauge railway.

P
Nahisi zuzu umepata[emoji112][emoji112]siyo huyo boya anatudanganya kuwa tairi ya treni kufanyiwa adjust wakati mimi nayajua matairi ya treni ni fixed. Ila hapo kwenye mapya Zuzu umekosa hakuna hata behewa moja jipya samia kanunua toka kaingia madarakani kwa reli yoyote sgr hata mgr
 
Wameanza kukanusha, mimi nilikuwa sahihi nikishangaa SGR katika reli ya MGR .
Na ujinga wetu wa kutofatilia mambo ndio serikali inapenda ili ituibie sana.
Sasa mtu anasema zile ekseli zinafanyiwa adjustment ziendane na za SGR hivi kweli mtu huyo amekwishawahi kuona train achilia kupanda?
Watanzania wa sasa si wa miaka ya 90 na hapa serikali imeshikwa pabaya inachofanya ni kurudisha mpira kwa kipa. Maana tayari Watanzania wenye akili na kujitambua hawakubaliani ni hii train maana ni mbaya haina mvuto alafu toleo la zamani.
Na kushangaza wanaweka nauli kubwa kama inatumia mafuta kutoka Sayari ya Mars kumbe ni ya umeme tena wa maji (Mwalimu Nyerer Hyropower).
Naona Mia njema ya SGR inakufa kabla haijaanza kutumika labda Walete train iliyopo kweye dizaini tangu mwanzo wa mradi na nauli ziwe chini ya nauli ya basi

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwa na uhakika wa hicho ulichokisema? Bado hadi sasa unaamini hivyo baada ya Wizara ya ujenzi kuyatolea taarifa hayo mabehewa?
 
jambazi ni jambazi tu, hawezi kosa maelezo ya kitu alichokiiba, atakuja kukueleza uongo wake. Nachoumia ni kwamba hawa wezi wamezaa watoto maana yake damu ile inazidi sambaa hapa nchini..huko mbeleni kutakuwa kuna taifa la majambazi tupu maana kwasasa wanawekana wenyewe kwa wenyewe. hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…