Angalia sasa hata unachoandika hakieleweki, njaa mbaya sanaNo hakuna mchezo wowote. Siku ile yanapokelewa mabehewa 'mapya' ya SGR, pia yalipokelewa mabehewa used 46 ya standard gauge railway.
P
Yaani inauma kuona kodi zinavyochezewa vila huruma .Kuna option ya kuongeza upana wa matairi ya treni au kupunguza
viwanda vyote wanapotengeneza options zote wanaziangalia na wanaziweka ili mteja afanye yeye mwenyewe dharura ikitokea wala si kitu cha ajabu, duniani kote kinajulikana. pengine wewe ni mara ya kwanza kujua na utapinga ukweli. Ndiyo sababu kuna wakati mabehewa ya TAZARA (cape cauge) ilishutumiwa kwamba zambia wanayatumia kwenda kubebea mizigo msumbiji na SAKwa hio unataka kuniambia kuwa yalikuwa yanatumika kwenye reli ya MGR hivyo baada ya kununuliwa inabidi yafanyiwe adjustment ili kuendana na reli tuliojenga.
Sasa swali la kujiuliza ina maana huko kiwandani hawakupeleka specification za reli yetu ikoje? Ili ikifika Bandarini ipachikwe kwenye reli yake? .Kuna haja gani ya kununua kitu kipya alafu uje ufanye modification kabla ya kutumia
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
arusha na kilimanjaro hatuyahitaji basi luxury yamejaa hayo yaende kigoma na mwanzaHayo ni kwa ajili ya safari za Moshi Arusha
Reli za SADC ikiwemo hio Zambia ni ya aina moja, ndio maana kuna train ya kitalii ilitoka Afrika ya kusini hadi Dar kwa hio kusema kulikuwa na kashfa utakuwa unakoseaviwanda vyote wanapotengeneza options zote wanaziangalia na wanaziweka ili mteja afanye yeye mwenyewe dharura ikitokea wala si kitu cha ajabu, duniani kote kinajulikana. pengine wewe ni mara ya kwanza kujua na utainga ukweli. Ndiyo sababu kuna wakati mabehewa ya TAZARA ilishutumiwa kwamba zambia wanayatumia kwenda kubebea mizigo msumbiji na SA
Hapo sasaYale ni mabehewa ya MGR yana kipimo cha 1000mm ya rail gauge. Ya SGR huwa na 1435mm sasa hayawezi pitika huko.
Masanja ka graduate wapi hiyo degree ya engineering?Engineer &Banker Masanja Kadogosa alizingatia Joint Expansion, kwaiyo usihofu tupo vizuri![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanzanzibara safari hii tumeshikwa pabaya!!
TAZARA ni SGR reli ya kati ni MGRviwanda vyote wanapotengeneza options zote wanaziangalia na wanaziweka ili mteja afanye yeye mwenyewe dharura ikitokea wala si kitu cha ajabu, duniani kote kinajulikana. pengine wewe ni mara ya kwanza kujua na utainga ukweli. Ndiyo sababu kuna wakati mabehewa ya TAZARA ilishutumiwa kwamba zambia wanayatumia kwenda kubebea mizigo msumbiji na SA
Mimi nahisi wewe ndo hujamuelewa mkuu! Kuna kitu inaitwaAngalia sasa hata unachoandika hakieleweki, njaa mbaya sana
Japo hakueleza gharama zitakazotumika.Asante Sana kwa ufafanuzi
Idadi ya mapya😀😀😀😀😀?No hakuna mchezo wowote. Siku ile yanapokelewa mabehewa 'mapya' ya SGR, pia yalipokelewa mabehewa used 46 ya standard gauge railway.
P
Mchezo unachezwa na hao wapotoshaji...hizo behewa sio za sgr ila wanazitangaza kama ndo behewa mpya za sgrKuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.
Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?
Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!
Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.
We sema kweli Mkuu, Kuna safari za Dar - Sauz?Reli za SADC ikiwemo hio Zambia ni ya aina moja, ndio maana kuna train ya kitalii ilitoka Afrika ya kusini hadi Dar kwa hio kusema kulikuwa na kashfa utakuwa unakosea
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Nenda iringa ukakutane na mzee mgaya, huku hakukuhusuMoshi tutafaidi Christmas na New year
Picha mkuu.Kuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.
Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?
Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!
Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.