Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
- Thread starter
-
- #81
Mwenye shida ni Tanzania sio Marekani, tanbua hilo kwanza.
Tulisikia lugha sampuli hiyo na tukashiriki kulaani enzi za Raisi Nyerere pammoja na propaganda hizo sikumuona Marekani akisalimu amri,sana sana ni Raisi Nyerere ndie alitembea Marekani akakinga bakuli njaaa njaa.
Ukabila Kenya ulishakwisha wanachapa maendeleo. Chukua nchi hizo zilizowatumia positive falme za kiarabu,Singapore, Malaysia,south korea, Brazil,hongkong,Thailand ,India kwa uchache.Watawala wa kiafrica wanawananga mabeberu sababu ni kikwazo kwao kuuwa watu wao,kukaa mda mrefu madarakani, kikwazo kwao kwa utawala wa kidikteta. Bila the Hague, misaada, wangetutesa usiku na mchana kwa risasi furaha yao ni kutawala masikiniUnadanganyika na GDP ambayo inaandaliwa na Mabeberu ili kuendelea kumvika shuka la ujinga mwafrika?
Export yao ni maua ya Mabeberu kwenye mashamba yao kenya hiyo ni pesa ya beberu Hakuna mkenya ananufaika
Bajeti yao ni hewa nenda kapitie utekelezaji wa bajeti ya mwaka juzi
Awareness ya kuzungumza kingereza Au mauaji ya kikabila?
Zimebadilika nawe umebaki na mawazo ya kijamaa kama bashiru kwenye ulimwengu wa dotcomNyakati zimebadilika
Swadakta ni kanuni ya maendeleo. Huwezi kula bila kuliwahata mheshiwa jk alishakwambia "ukitaka kula lazima uliwe"
Word bank na IMF siyo mali ya China ni mali ya Marekani huyo mnaemwita beberu.Nyakati zimebadilika
Ana comment kwenye uzi wakeUna ID ngapi uanzishe uzi mwenyewe una comment mwenyewe
Mitandaoni unajichujia mwenyewe taarifa,si mmeyabana magazeti yaandike mvipendavyo.Nyerere alifaulu sababu zilikuwa ni zama za Giza alimiliki magazeti na vyombo vya kuchapia hivo aliwapa habari alizotaka yeye za nimeota kuna vita.Kumbe TV anamiliki yeye pekee nchi nzima.Zama zimebadilika hii ni dotcom yenye kuresoning,sio hile ya cooked information iliyofundishwa somo la historia lililochujwa eti umasikini wetu umeletwa na ukoloni,Mara sijui ukoloni mamboleo,mara sijui mashirika ya kimataifa utadhani hizo factors hazipo nchi hizo tulizokuwa nazo sawa kimaendeleo baada ya Uhuru. Kumbe ilikuwa ni janja janja ya watawala wa kiafrica kuwatupia lawama external factor wakati watawala ndio chanzo cha ufukara wetu Africa.Wapinzani mkiishiwa hoja mnaanza kubweka kueneza uongo mtandaoni
Tanzania ya leo sio ya jana, pompeo ajitafakari
Hadi kamuachia kabendera,alishindwa mwalimu zama za Giza ndio ataweza yeye mwangani beberu ni sawa na oxygen. Hela zetu za ndani mikopo inawaumbuaWe Pimbi, Safari hii Jiwe wako ananyooshwa na mabeberu, mpaka atakubali mziki.
Yehodavi kalala mbele kasingizia anaenda shule utadhani jf haipo dunia nzima.Kusafisha mikojo ni lazima uwe umelewaHivi hizo 7800/= mnazopewa kila post mnashindwa kununua visimu Vinci vingi kuliko ku log out kila ukijikomment kwenye vi threads zenu ona Leo umejidhalilisha kweupe,
Wewe na nani?Pompeo siku hizi halali anaiwaza Tanzania
Kila kinachofanyika Tanzania anakifatilia
Anafuatilia kila hotuba za Rais wetu mpendwa pengine wanalazimika kujifunza hadi kiswahili ili wajue atasema nini.
Miaka ya katikati Tanzania tulipoteza ushawishi wetu wa kisiasa duniani ila toka Rais Magufuli ameingia madarakani mambo yamebadilika.
Bahati nzuri Rais wetu hana muda wa kwenda huko anatumikia Watanzania waliomchagua kwa mamilon ya kura.
Ikumbukwe Marikani huingiza Zaidi ya doller bilion tano kila mwaka kutokana na safari za viongozi wa Africa kwenda Marekani.
Ndani ya miaka minne Magufuli kutokwenda kule kinamuumiza kichwa pompeo
Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?
Marais wa Africa wangekuwa kama Magufuli hakika bara la Africa lingeanza kupokea heshima inayostahili
Haiwezekani watu wanaiba raslmali zetu na sisi tunazindikiza huko kwa kutapanya mabilion ya walipa kodi.
Pompeo nenda kwa step,Tanzania ya leo sio ya jana
Rais Magufuli usitishike na hawa Mabeberu sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia mia moja.
Baada ya pompeo kugonga mwamba huko Venezuela na north korea. Sasa anaanza kuleta janja janja kwetu, hatutakubali.
Tena mimi simwogopi kwenye ukurasa wake wa Twitter huwa nampa ukweli wake.
Zama zimebadilika hii ni dotcom yenye kuresoning,
Kweli akili zako ni ndogo mno! Kutoka nje na kuacha kumsikiliza anayehutubia ni ishara ya kutokubaliana na hotuba hiyo na kupuuzwa kwa mhutubiaji! Wenzetu huthamini sana muda na huwa hawapendi kupotezwa muda wao kwa ngonjera na vijembe vya kijinga Kama vya mwenyekiti wako asiyejua aongee nini, mahali gani, wakati gani na watu gani!Nyerere alikwenda kwenye mikitano muhimu na alihutubia Mabeberu sana sio hii ya siku hizi Viongozi wa Africa wakiwa wanahutubia Mabeberu yanatoka nje
Haiwezekani
Mkiishiwa hoja mwazijibu kwa risasi,kubambikia watu kesi za uhaini,uhujumu,uraia,kodi,ocd weka huyu ndani akae ndani utadhani ndani ni kuzimu kumbe umepewa mda wa kupumzika tu.Hivi kuna Lumumba mwenye uwezo wowote wa kujibu hoja bila msaada wa polisi kweliWapinzani mkiishiwa hoja mnaanza kubweka kueneza uongo mtandaoni
Tanzania ya leo sio ya jana, pompeo ajitafakari
Nionyeshe picha ya Stiglers gorge ikiwa katika ujenzi wa bwawa
Kweli akili zako ni ndogo mno! Kutoka nje na kuacha kumsikiliza anayehutubia ni ishara ya kutokubaliana na hotuba hiyo na kupuuzwa kwa mhutubiaji! Wenzetu huthamini sana muda na huwa hawapendi kupotezwa muda wao kwa ngonjera na vijembe vya kijinga Kama vya mwenyekiti wako asiyejua aongee nini, mahali gani, wakati gani na watu gani!
By the way, ule mkopo kutoka kwao mlishaupata? Unapoomba msaada na mkopo ni lazima kunyenyekea na kinyume chake utakosa na kupata hasira za sungura mhoro wa sisitaki mbichi hizi!
Heshimu watu uvae viatu na acha kuwalable kwa majina ya kipuuzi yaliyopitwa na wakati!
Propesa mimacho kapiga kimya na hasikiki lakini wewe kajamba nani ndio umwandikie Pompeo! Ona aibu!
Mkiishiwa hoja mwazijibu kwa risasi,kubambikia watu kesi za uhaini,uhujumu,uraia,kodi,ocd weka huyu ndani akae ndani utadhani ndani ni kuzimu kumbe umepewa mda wa kupumzika tu.Hivi kuna Lumumba mwenye uwezo wowote wa kujibu hoja bila msaada wa polisi kweli