1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,291
Mabeberu wa Afrika ni waafrika wenyewe.
Wazungu walishatoka Afrika miaka mingi.
Aliyepewa ushindi ni Mkongo na Mwafrika mwenzetu.
Kuna baadhi ya dini zinaweka mbele maslahi ya mabeberu duniani na si vinginevyo.
Nadhani kwanza tungempongeza Kabila kwa kuthubutu kuendesha Uchaguzi Kwenye eneo hilo .
Nadhania ilikua ni mwanzo mzuri wa Demokrasia. Wapinzani wangekubaliana na matokeo mana Demokrasia Afrika ni changa sana. Inabidi tumpongeze mtu anayeweza kusimamia uchaguzi na chama chake kikashindwa.
Tanzania CCM hakiwezi kwa namna yoyote hata uchaguzi mdogo kabisa wa udiwani bado kinatumia hila kishinde kwa 99%.
Joseph Kabila ni Rais atakayekumbukwa sana kwenye ukanda huo wa walevi wa madaraka na wabinafsi.
Ukanda wenye mabeberu weusi.
Siungi mkono harakati zozote za kidini huko Kongo.
Dini na siasa ndizo zinazovuruga Demokrasia ukanda huu wa Mashariki na kati.
Hata nchi za jirani na Kongo kuna udini udini ndio maana akitawala wa dini tofauti na mabeberu anapigwa vita sana hata kama anatenda haki na kukuza Demokrasia.
Kongo Rais ameshapatikana nafikiri Kabila angekua mtata angetakua amefuta kifungu cha kuhoji matokeo mahakama.
Simuungi Mkono Martini Fayulu mana ni chaguo la Mabeberu.
Bora Chaguo la Kabila mwafrika na Mkongo lakini sio huyo Martini chaguo la Ufaransa amboa ama kwa hakika wanaiona Kongo kuna shamba lao la bibi.
Cha msingi waunde serikali ya ummoja wa kitaifa ili kumaliza migogoro ya miaka mingi. Kongo irejee kwenye amani.
Kanisa Kirumi libaki kusimamia haki za watu wake chini ya Rais mteule.
Ninawasiwasi kuwa Mabeberu walitengeneza matokeo yao kwa malengo yao Kabila akawashtukia.
Sent using Jamii Forums mobile app