fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,626
Tanzania hakuna mabasi yanayokimbia speed ni 80 to 85 km/hr ikizidi hapo dereva anakula fineHaya mabus ya Dar to Mbeya, Mbeya to Dar, Mwanza to Mbeya, Arusha to Mbeya speed zao si za kitoto. Nimesafiri mara kadhaa route ya Mbeya ni balaa tupu, sitataja mabus ila ntatoa mifano.
1. Ukiwa Dodoma stand mabus ya kutoka Arusha ni mengi ila ya mbeya lazima yaingie kwanza.
2. Ukiwa Moro magari ya mbeya yafika mapema kutoka Dar
Je, watu wa huko ni wapenda speed? Au nini hasaa?
Sent from my phone using JamiiForums mobile app
