tzkwanza
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,567
- 3,611
Well said.Hakuna basi linalokimbia hapo, zote speed ni moja tu, wanachofanya ni kuondoa zile simama simama njiani na vituo vya ovyo ili kuokoa muda.
Well said.Hakuna basi linalokimbia hapo, zote speed ni moja tu, wanachofanya ni kuondoa zile simama simama njiani na vituo vya ovyo ili kuokoa muda.
Kumbuka dereva wa Sauli (Mwanyiro na mwenzake) walifungiwa kwa miezi mitatu baada ya kuzidisha mwendo kasi zaidi ya 110kms/hHakuna basi linalokimbia hapo, zote speed ni moja tu, wanachofanya ni kuondoa zile simama simama njiani na vituo vya ovyo ili kuokoa muda.
Naona mtu analiwa hapo...
HapanaHivi huyu Sauli ni yule mbunge mmiliki wa Landmark hotel Tukuyu?
Dereva ndo anakimbiza 😀 😀 😀 😀Hakuna basi linalokimbia hapo, zote speed ni moja tu, wanachofanya ni kuondoa zile simama simama njiani na vituo vya ovyo ili kuokoa muda.

Watuondolee hivyo vi speed governor vinatumalizia ladha.
Watuache tu Mbeya tuwe tunafika saa saba
Kilimanjaro ExpressHiyo nyuma gari gani
Na makasokela/ makataperaIli uwahi mafufu sio![]()
KLM Royal ChagaHiyo nyuma gari gani
Kitonga hiyo.
Daaah hapo ni kitonga...hatareeee
YaapHivi huyu Sauli ni yule mbunge mmiliki wa Landmark hotel Tukuyu?
Umenikumbusha enzi za miaka ya 1998 hadi 2000 kulikuwa na basi la masia, lilikuwa inafika Tunduma saa 9:00 mchana kutoka Dar... Chini ya dereva mahiri Deo Kapelege, aisee ilikuwa balaaSABCO, HOOD NA ABOOD ZA TUNDUMA MIAKA HIYO...ZILIKUWA ZINAINGIA MBEYA SAA TISA NA SAA KUMI NA NUSU ZIPO TUNDUMA.
SASA HIVI ANGALAU KIDOGO NDIO MAANA HATA AJALI ZIMEPUNGUA.
Unaweza ukapelekwa safari nyingine ndefu zaidi kuwa makiniWatuondolee hivyo vi speed governor vinatumalizia ladha.
Watuache tu Mbeya tuwe tunafika saa saba
Ngoja likuchinje ndo uelewe, kiukweli mabasi yanakimbia sana sanaWatuondolee hivyo vi speed governor vinatumalizia ladha.
Watuache tu Mbeya tuwe tunafika saa saba